EDDY KENZO AMSHIKA MKONO CLEVER J BAADA YA KUTOSWA NA NDUGU ZAKE
Staa wa muziki kutoka Uganda Eddy Kenzo ameamua kumsaidia msanii mwenzake Clever J baada ya ndugu zake kumtelekeza. Eddy kenzo ambaye juzi kati alitumbuiza pamoja na Clever J kwenye show ya Comedy Gate, aliamua kumpa msanii huyo pesa zote alizopewa na mashabiki kama njia ya kumsaidia kijikwamua kimaisha. Hatua hiyo ya Eddy kenzo wengi wametafsiri […]
Read More