Eddy Kenzo awaonya Waislamu kutofuta Tattoo kwenye mwili wake pindi atakapofariki
Hitmaker wa “Nsimbudde”, Msanii Eddy kenzo ni kama ameanza kujipanga na safari yake ya mwisho/ kifo chake baada ya kutoa maagizo ya kutaka kuzikwa na Tatoo. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Kenzo amesema licha ya kwamba alikenda kinyume na imani ya kiislamu kwa kuchora tatoo, watu watakaompuzisha kwenye nyumba yake ya milele wasijaribu kufuta tatoo […]
Read More