Femi One Achoshwa na Wimbi la Wakosoaji Mtandaoni

Femi One Achoshwa na Wimbi la Wakosoaji Mtandaoni

Msanii wa Hiphop kutoka Kenya, Femi One, ameonyesha kuchoshwa kwake na kile alichokitaja kuwa wimbi la watu mitandaoni wanaojifanya wataalamu wa muziki huku wakitumia muda wao mwingi kuwakosoa wasanii. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Femi One amesema kuna kundi la watu wanaoamini kuwa wanaifahamu sekta ya muziki kuliko wasanii wenyewe, jambo analodai linakosa msingi. Kwa […]

Read More
 Femi One Apokea Rasmi Tuzo ya Unkut Hiphop Awards 2025

Femi One Apokea Rasmi Tuzo ya Unkut Hiphop Awards 2025

Rapa nyota kutoka Kenya, Femi One, ametangaza rasmi kupokea tuzo yake ya Unkut Hiphop Awards 2025 katika kipengele cha Best Female Artist, hatua inayoendeleza rekodi yake kama mmoja wa marapa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika Afrika Mashariki. Kupitia ujumbe aliouweka mtandaoni, Femi One amewashukuru mashabiki wake kwa kura na upendo waliomuonyesha, pamoja na waandaaji […]

Read More
 Rapa kutoka Kenya Femi One ashinda tuzo Afrimma 2022

Rapa kutoka Kenya Femi One ashinda tuzo Afrimma 2022

Rapper Femi One ameshinda kipengele cha rapper bora Afrika kwenye tuzo za Afrimma 2022 zilizokamilika wikiendi iliyopita huko Dallas nchini Marekani. Femi one ametumia mitandao yake ya kijamii kusherekea mafanikio kwa kushukuru uongozi wake pamoja na mashabiki kwa kumshika mkono kwenye safari yake ya muziki huku akiwahimizi marapa wa kike chipukizi kutia bidii katika kazi […]

Read More
 Femi One awajibu wanaowapinga wasanii kutumbuiza kwenye majukwaa ya kisiasa

Femi One awajibu wanaowapinga wasanii kutumbuiza kwenye majukwaa ya kisiasa

Rapa Femi One ambaye anafanya vizuri na wimbo wake mpya “Lip Service” amechukizwa na kitendo cha wakenya kuwakosoa wasanii wanapotumbuiza kwenye mikutano ya kisiasa. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Membo huyo amesema wasanii wanapoalikwa kufanya shows kwenye majukwaa ya kisiasa haimaanishi wanaunga mkono sera za viongozi wa mirengo fulani bali wameenda pale kwa ajili ya […]

Read More
 Femi One adokeza ujio wa EP ya pamoja na Nyashinski

Femi One adokeza ujio wa EP ya pamoja na Nyashinski

Rapa Femi One ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo huenda akamshirikisha Nyashinsiki au Khaligraph Jones. Kwenye mahojiano na The Trend ya NTV rapa huyo ambaye anafanya vizuri na single yake mpya “Lip Service” amesema yupo mbioni kufanikisha hilo kwa kuwa tayari ameanza mazungumzo na marapa hao kuhusu mpango wa kufanya EP ya pamoja. Utakumbuka […]

Read More
 FEMI ONE AFIKISHA STREAMS MILLIONI 5 BOOMPLAY

FEMI ONE AFIKISHA STREAMS MILLIONI 5 BOOMPLAY

Rapa kutoka Kenya, Femi One anaendelea kupokea upendo na support kubwa kutoka kwa mashabiki wake kiasi cha kufanya vizuri kwenye mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa BoomPlay. Hadi kufikia sasa katika mtandao  wa Boomplay Kenya  Femi One amefanikiwa kufikisha  zaidi ya streams Million 5 kupitia nyimbo zake zote. Kupitia ukurasa wake wa instagram Femi […]

Read More
 PENZI LA PATORAKING WA NIGERIA LAMKOSESHA USINGIZI FEMI ONE

PENZI LA PATORAKING WA NIGERIA LAMKOSESHA USINGIZI FEMI ONE

Msanii wa muziki wa rap nchini Kenya, Femi One, ameshindwa kuficha mapenzi yake kwa nyota wa muziki wa Dancehall kutoka Nigeria, patoranking. Katika kikao cha Maswali na Majibu kupitia insta story yake kwenye mtandao wa instagram , hitmaker huyo wa ‘Utawezana” amesema anatamani kuolewa na nyota huyo wa Nigeria kwa sababu ana akili pia amekuwa […]

Read More