Diamond Platnumz Aahidi Kutoa Sapoti Kwenye Live Streaming

Diamond Platnumz Aahidi Kutoa Sapoti Kwenye Live Streaming

Msanii wa Bongo Flava Diamond Platnumz ameonyesha kuthamini kazi ya muongozaji wa video za muziki Hanscana kwa juhudi zake katika ubunifu wa maudhui ya kidigitali, huku akiahidi kutoa sapoti kwenye harakati za live streaming anazofanya pamoja na Joowzey. Kupitia video iliyochapishwa mtandaoni na Hanscana, wawili hao walionekana wakizungumza na Diamond kwa njia ya simu. Katika […]

Read More