HARMONIZE AANZA MCHAKATO WA KUWA-FOLLOW BACK MASHABIKI ZAKE KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

HARMONIZE AANZA MCHAKATO WA KUWA-FOLLOW BACK MASHABIKI ZAKE KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

Baada ya mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize kuwafuta urafiki watu wote ambao alikuwa ame-wafollow katika mtandao wake wa Instagram hatimaye msanii huyo ameanza zoezi la kuwa follow back tena mashabiki na watu waliowahi kumfollow. Ukitembelea ukurasa wa Instagram wa Harmonize utagundua ameongeza idadi ya (Following) kutoka 1 mpaka 283. Utakumbuka mwishoni mwa mwaka wa 2021 mwanamuziki […]

Read More
 SIJAWAHI KUMTUMA MTU AWAVUNJIE WASANII WENZANGU HESHIMA, ASEMA HARMONIZE

SIJAWAHI KUMTUMA MTU AWAVUNJIE WASANII WENZANGU HESHIMA, ASEMA HARMONIZE

Msanii wa Bongofleva kutoka Konde Music Worldwide, Harmonize amesema hajawai kutuma watu kuzungumza vibaya kuhusu washindani wake. Hitmaker huyo wa “Teacher” amefunguka hayo kwenye kituo kimoja cha radio ambapo ameeleza kuwa haweza kumtuma mtu yeyote kuwashambulia mahasidi wake kwa sababu hakuna kitu chochote wataongeza kwa kazi zake. “Mkiona mtu yeyote anaenda kumzungumzia mtu fulani basi […]

Read More
 HARMONIZE AVUNJA KIMYA CHAKE BAADA YA MKATABA WA COUNTRY BOY KUMALIZIKA KONDE MUSIC WORLDWIDE

HARMONIZE AVUNJA KIMYA CHAKE BAADA YA MKATABA WA COUNTRY BOY KUMALIZIKA KONDE MUSIC WORLDWIDE

Siku chache baada ya Lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide kutangaza kumalizika kwa mkataba baina yao na msanii Country Boy, mmiliki wa lebol hiyo Harmonize ametoa neno. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram, Harmonize amemshukuru Country Boy kwa uwepo wake ndani ya Konde Music Worldwide katika kipindi cha miaka miwili, lakini pia […]

Read More
 HARMONIZE NA OTILE BROWN WAINGIA LOCATION KUTAYARISHA VIDEO YA WIMBO WAO

HARMONIZE NA OTILE BROWN WAINGIA LOCATION KUTAYARISHA VIDEO YA WIMBO WAO

Msanii wa Bongofleva Harmonize na Otile Brown wameingia location kuitayarisha video ya wimbo wao ambao unahisiwa huenda ukapatikana kwenye EP yao ya pamoja. Harmonize amethibitisha hilo kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kushare misururu ya picha wakiwa chimbo na mkali huyo kutoka Kenya jambo ambalo limewaaminisha mashabiki muziki mzuri Afrika Mashariki kuwa wawili […]

Read More
 20 PERCENT AMJIBU HARMONIZE

20 PERCENT AMJIBU HARMONIZE

Hatimaye ahadi ya Harmonize ya kuingia studio na kufanya kolabo na 20 percent pindi tu akitua Tanzania kutoka nchini Marekani imepokelewa kwa mikono miwili na mkali huyo wa zamani. 20 Percent ametumia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kumjibu Harmonize kuwa “Promise is like a debt”  kwa maana yupo tayari hivyo Harmonize atimize alichokiahidi. […]

Read More
 HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Harmonize hatimaye ameiweka wazi tarehe ya kuiachia album yake mpya iitwayo “High School”. Album hiyo ambayo ilipaswa itoke mwezi huu wa haitotoka kutokana na sababu mbalimbali hivyo imesogezwa mbele hadi Novemba 5 mwaka huu. Hii ni habari njema kwa mashabiki wa mkali huyo wa “Teacher” ambao wanaisubiri “High School album” kwa hamu […]

Read More