HARMONIZE AWEKA WAZI KUHUSU MAPATO YA WIMBO WA “OMOYO REMIX” WA JANE MISSO
Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ameweka wazi masuala ya umiliki wa wimbo wa “Omoyo Remix”. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize ambapo amesema hana umiliki wowote kwenye wimbo huo na mapato yote yanakwenda kwa Mchungaji Jane Misso. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Outside” amesema licha ya kutumia gharama zake kwenye Audio na Video, hatachukua […]
Read More