Jose Chameleone Afanyiwa Upasuaji wa Jicho Baada ya Kupoteza Uwezo wa Kuona
Mwanamuziki mkongwe kutoka Uganda Jose Chameleone amelazwa hospitalini na kufanyiwa upasuaji wa jicho baada ya kupoteza uwezo wa kuona katika jicho lake la kulia. Kupitia taarifa aliyoshiriki akiwa hospitalini, Chameleone, amesema kuwa alipoteza uwezo wa kuona katika jicho lake la kulia kwa kasi, hali iliyomlazimu kutafuta matibabu ya haraka na kufanyiwa upasuaji maalum ili kuzuia […]
Read More