Chameleone adokeza mpango wa kubuni bendi ya muziki ya familia

Chameleone adokeza mpango wa kubuni bendi ya muziki ya familia

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amefichua mpango wa kuunda bendi ya familia itakayojumuisha ndugu zake, Pallaso na Weasel. Katika mahojiano hivi karibuni, Chameleone ameeleza kuwa watatu hao bado wapo kwenye mazungumzo kwa ajili ya kufikia makubaliano. Bendi hiyo huenda ikazinduliwa hivi karibuni katika hafla itakayofanyika jijini Kampala, katika uwanja wa Namboole. “Tunapanga kuanzisha bendi […]

Read More
 Uongozi wa Jose Chameleone wafunguka kuhusu tuhuma za msanii huyo kumpiga Boda Boda

Uongozi wa Jose Chameleone wafunguka kuhusu tuhuma za msanii huyo kumpiga Boda Boda

Menejimenti ya Mwanamuziki Jose Chameleone kupitia Afisa Uhusiano wake, imetoa maelezo kuhusiana na video ambayo imetoka ikimuonesha mwimbaji huyo maarufu wa nchini Uganda akimpiga mhudumu wa boda boda. Taarifa hiyo imeeleza kwamba tukio hilo lilitokea November 12, mwaka 2022 ambapo mwendesha boda boda huyo aliichuna kwa pembeni gari ya Jose Chameleone aina ya Range Rover. […]

Read More
 Rapa Gravitty Omutujju afufua bifu yake na Jose Chameleone

Rapa Gravitty Omutujju afufua bifu yake na Jose Chameleone

Rapa kutoka nchini Uganda Gravity Omutujju amefufua tena bifu yake na msanii mkongwe Jose Chameleone. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Omutujju amesema hana mpango kumuunga mkono Chameleone kwenye shoo yake ijayo, itakayofanyika huko Lugogo, Cricket Oval. Gravity Omutujju amesema shoo ya msanii huyo itabuma vibaya huku akidai kwamba hatokuja kumheshimu Jose Chameleone kwa sababu hajawahi […]

Read More
 King Saha amshukuru Chameleone kwa kusimama naye wakati wa matatizo

King Saha amshukuru Chameleone kwa kusimama naye wakati wa matatizo

Mwanamuziki King Saha ni mwingi wa shukran kwa kitendo cha Jose Chameleone kutumbuiza kwenye shows zake alizokuwa ameratibu kutoa burudani kwa mashabiki zake. King saha ambaye aliruhusiwa kuondoka katika hospitali ya Nakasero wiki iliyopita ambako alikuwa amelazwa, amefarijika na ukarimu waBosi huyo wa Leone Island kumkingia kifua alipokuwa kwenye matatizo ambapo amemtaja kuwa mtu mwema […]

Read More
 Niko tayari kutumbuiza katika shoo zote za King Saha hadi atakapopata nafuu- Chameleone

Niko tayari kutumbuiza katika shoo zote za King Saha hadi atakapopata nafuu- Chameleone

Msanii mashuhuri kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amejitolea kujaza nafasi ya mwanamuziki King Saha katika shoo zake zote alizokuwa ameratibiwa kutumbuiza  hadi atakapopata afueni. Katika mahojiano hivi karibuni, Chameleone amesema yuko tayari kuwapa burudani mashabiki wake bure bila malipo. Bosi huyo wa Leone Island ameeleza kuwa tayari ameanza mazungumzo na meneja wa King Saha aitwaye […]

Read More
 Jose Chameleone atakiwa kuzindua kampuni yake ya simu

Jose Chameleone atakiwa kuzindua kampuni yake ya simu

Msanii mkongwe kutoka nchini Uganda Jose Chameleone ameshauriwa kutekeleza mpango wake wa kuanzisha mradi wake kufungua kampuni ya simu iitwayo Chameleone Phones. Wito huo umetolewa na mwanahabari Douglas Lwaga ambaye amehoji kuwa Chameleone alipoteza fursa kubwa ya kuingiza pesa nyingi kupitia mpango wake wa kuzindua kampuni ya simu. Hata hivyo amesema msanii huyo mkongwe ana […]

Read More
 CHAMELEONE AANIKA SIRI ZA BOBI WINE

CHAMELEONE AANIKA SIRI ZA BOBI WINE

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha ya msanii aligeukia siasa Bobi Wine. Kwenye moja ya performance yake juzi kati, Chameleone amedai kwamba Bobi Wine hawezi tena toka nje ya ndoa yake kwa sababu anaogopa kuwekewa sumu. Hitmaker huyo wa Bolingo ya Nzambe amesema Bobi Wine anahofia sana wanawake kwa kuwa wanaweza […]

Read More
 CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU BIFU YAKE NA BOBI WINE

CHAMELEONE AFUNGUKA KUHUSU BIFU YAKE NA BOBI WINE

Msanii mkongwe nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka uhusiano wake na Bobi Wine ambaye wamekuwa kwenye bifu kwa muda mrefu. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Chameleone amesema kwa sasa hana ugomvi wowote na msanii huyo aliyegeukia siasa kwa kuwa alishamsamehe zamani kwa hatua ya kunyima tiketi ya chama chake cha nup wakati alikuwa anawania wadhfa wa […]

Read More
 CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOWANIA URAIS UMA

CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOWANIA URAIS UMA

Msanii mkongwe nchini Uganda Jose Chameleone amevunja ukimya wake kuhusu kutowania urais katika chama cha wanamuziki nchini humo UMA. Katika mahojiano yake hivi karibuni Chameleone amesema ameshikika sana kwenye kazi zake za muziki hivyo atapata nafasi ya kutekeleza majukumu ya chama cha wanamuziki nchini Uganda. Hitmaker huyo wa ngoma ya Forever amedai kuwa wasanii wanahitaji […]

Read More
 CHAMELEONE NA BOBI WINE WAMALIZA TOFAUTI ZAO

CHAMELEONE NA BOBI WINE WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Mastaa wa muziki kutoka Uganda Jose Chameleone na Bobi wine hatimaye wamemaliza ugomvi wao uliodumu kwa kipindi cha miaka miwili. Hii ni baada ya wawili hao kukutana kwenye hafla ya kusherekea kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki eddy yawe mapema wiki ambapo walipata wasaa mzuri wakuzungumza huku wakionekana wakiwa na nyuso za tabasamu. Taarifa za Bobi […]

Read More
 CHAMELEONE ACHUKUA MAPUMZIKO MAFUPI KWENYE MUZIKI WAKE

CHAMELEONE ACHUKUA MAPUMZIKO MAFUPI KWENYE MUZIKI WAKE

Nguli wa muziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amekuwa akifanya kazi ya muziki kwa takriban miongo mitatu bila kupoa. Baada ya kuachia nyimbo kali zilizokonga nyoyo za wapenzi wa muziki mzuri Afrika Mashariki, mkali huyo wa ngoma ya “Mama Mia” ametangaza kuchukua mapumziko ya miezi mitatu kwenye muziki wake. Vyanzo vya karibu na Jose Chameleone,vimedai […]

Read More
 CHAMELEONE AWAPA SOMO MASHABIKI

CHAMELEONE AWAPA SOMO MASHABIKI

Lejendari wa muziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amewapa somo mashabiki wanaomkosoa kwa kufanya kazi na serikali ya rais Yoweri Museveni. Katika performance yake katika kumbukiza ya General. Muhoozi huko Cricket Oval, Lugogo chameleone amedai kuwa hatokubali kuvunjiwa heshima na mashabiki wanaomtaka afuate wanachokisema mtandaoni kwa kusema kwamba yeye ni mtu mzima na hawezi kupangiwa […]

Read More