CHAMELEONE AFUNGUKA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA BOBI WINE

CHAMELEONE AFUNGUKA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA BOBI WINE

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Jose Chameleone amekiri hadharani kwamba hana uhusiano mzuri na msanii mwenzake Bobi Wine ambaye aligeukia siasa. Akiwa kwenye moja ya onesho lake huko Kyengera Chameleone amedai kuwa Bobi wine alimnyima tiketi ya kugombea wadhfa wa umeya wa jiji la kampala kupitia chama chake cha NUP kwenye uchaguzi mkuu uliopita […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AKIRI KUSHINDWA NA MASUALA YA SIASA

JOSE CHAMELEONE AKIRI KUSHINDWA NA MASUALA YA SIASA

Msanii nguli kutoka Uganda Jose Chameleone amekiri kutokuwa na bahati kwenye masuala ya siasa ikiwa ni mwaka mmoja tangu apoteze kiti cha umeya wa jiji la kampala kwa mpinzani wake Erias Lukwago katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2021. Akizungumza kwenye moja ya show huko Mukono Chameleone amesema amekubali hatma yake kwenye siasa huku akidai bado […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AMWAGIA SIFA MSANII CHIPUKIZI ALLAN HENDRICK, AAHIDI KUSIMAMIA MUZIKI WAKE

JOSE CHAMELEONE AMWAGIA SIFA MSANII CHIPUKIZI ALLAN HENDRICK, AAHIDI KUSIMAMIA MUZIKI WAKE

Mkongwe wa muziki nchini uganda Jose Chameleone amehapa kukuza muziki wa msanii Allan Hendrick kwani ni kijana ambaye ana ari ya kutaka kufanya makubwa kwenye muziki wake. Katika mahojiano yake hivi karibuni Bosi huyo wa leone island amemwagia sifa msanii huyo chipukizi kwa kumtabiria mema kuwa atakuja kuwa msanii mkubwa kwenye kiwanda cha muziki nchini […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AKIRI BIFU LAKE NA WASANII GOODLYFE CREW LILIMSAIDI KUKUA KIMUZIKI

JOSE CHAMELEONE AKIRI BIFU LAKE NA WASANII GOODLYFE CREW LILIMSAIDI KUKUA KIMUZIKI

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Jose Chameleone amekiri kuwa bifu yake na wasanii wa Goodlyfe Crew Mozey Radio na  Weasel Manizo lilimsaidia kukua kimuziki. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chameleone amesema kuwa bifu zinasaidia kukuza muziki kwani kipindi cha nyuma alipokuwa anajibu diss tracks za wasanii hao kwa kuachia ngoma alizungumziwa sana kwenye […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHA MUZIKI

JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHA MUZIKI

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka sababu za kutostaafu kwenye muziki licha ya kufanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 20. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chameleone amesema muziki upo ndani damu yake na hivyo haoni kabisa akiacha kuimba. Bosi huyo wa lebo ya Leone Island amesema hafanyi tena muziki kwa […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AWACHANA WANAOPENDA KWENDA GYM, ADAI NI WAVIVU

JOSE CHAMELEONE AWACHANA WANAOPENDA KWENDA GYM, ADAI NI WAVIVU

Mwanamuziki Jose Chameleone amewatolea uvivu watu wanaopenda kufanya mazoezi akiwataja kuwa ni wavivu ambao hawana chochote cha kufanya maishani mwao. Akiwa kwenye moja ya Interview Chameleone anasema aliwahi kwenda gym lakini aligundua kuwa alikuwa anapoteza muda wake mwingi, na hivyo akaamua kuacha. Hitmaker huyo wa “Baliwa” amesema alihamua kuwekeza muda wake katika kufanya kazi, na […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AMFUTA KAZI MENEJA WAKE BIJOU FORTUNATE KISA UZEMBE KAZINI

JOSE CHAMELEONE AMFUTA KAZI MENEJA WAKE BIJOU FORTUNATE KISA UZEMBE KAZINI

Bosi wa lebo ya leone island Jose Chameleone amemfuta kazi meneja wake Bijou Fortunate. Inadaiwa kuwa Bijou ameshindwa kumleta Chameleone dili kubwa za kimataifa kitu ambacho kimemfanya msanii huyo kutoridhika na utenda kazi wake. Hata hivyo duru za kuaminika zinasema kuwa chameleone anafadhalisha kufanya kazi na meneja wake zamani Robert Mutiima ambaye kipindi cha nyuma […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE: SINA MPANGO WA KUREJEA TENA KWENYE SIASA

JOSE CHAMELEONE: SINA MPANGO WA KUREJEA TENA KWENYE SIASA

Bosi wa lebo ya muziki ya Leone Island msanii Jose Chameleone ameweka wazi kwamba hana mpango tena wa kuingia kwenye siasa. Chameleone amesema siasa inataka pesa nyingi sana na kwa mantiki hiyo itakuwa vigumu kwake kuwania wadhfa wowote wa kisiasa. Hata hivyo amesisitiza kwamba licha ya watu kutompigia kura kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu uliopita […]

Read More
 CHAMA CHA UGANDA MUSICIANS FEDERATION CHAANZA ZOEZI LA KUWASAJILI WASANII

CHAMA CHA UGANDA MUSICIANS FEDERATION CHAANZA ZOEZI LA KUWASAJILI WASANII

Msanii nguli kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amezindua zoezi la kuwasajili wasanii ambao wanatamani kujiunga na chama chake cha Uganda Musicians Federation. Ni Zoezi ambalo litaandeshwa na timu ya wataalam wa masuala ya muziki nchini Uganda ambao watawachagua  wasanii kutoka maeneo mbali mbali nchini Uganda. Ikumbukwe chama cha Uganda Musician Federation lilizunduliwa na Mwanamuziki Jose […]

Read More