PENZI LA KANYE WEST NA CHANEY JONES LAVUNJIKA RASMI

PENZI LA KANYE WEST NA CHANEY JONES LAVUNJIKA RASMI

Rapper Kanye West (YE) na mpenzi wake mpya Chaney Jones wameachana. Tovuti ya TMZ imethibitisha taarifa hiyo kwa kusema kwamba wawili hao wamefikia ukomo wa penzi lao baada ya ziara ndefu nchini Japan. Hakuna taarifa za yupi aliyempiga chini mwenzie lakini taarifa hizi zinakuja ikiwa ni siku chache baada ya kuonekana picha ya Kanye West […]

Read More
 KANYE WEST MBIONI KUJA NA FILAMU YA MAISHA YAKE

KANYE WEST MBIONI KUJA NA FILAMU YA MAISHA YAKE

Rapper Kanye West amedokeza mpango wa kuja na filamu ya maisha yake. Kanye amemuomba mwigizaji Danny McBride kuvaa uhusika wake na kucheza filamu hiyo. McBride amethibitisha taarifa hiyo kwenye podcast ya Jimmy Kimmel Live kwenye mtandao wa Youtube kwa kusema kwamba YE alimpigia simu na kumpa ombi hilo. Mwigizaji huyo ambaye pia ni mchekeshaji wa […]

Read More
 KANYE WEST AMFANANISHA KIM KARDASHIAN NA KATUNI  MARGE SIMPSON

KANYE WEST AMFANANISHA KIM KARDASHIAN NA KATUNI MARGE SIMPSON

Mwanamama Kim Kardashian amefunguka kwamba baada ya kumalizika kwa Tuzo za Wall Street Journal’s Innovator Awards (WSJ), Kanye West alimuita pembeni na kumwambia kwamba amefanana na katuni “Marge Simpson” ambaye ni mhusika kwenye animation maarufu nchini Marekani, The Simpsons. Kanye West hakuishia hapo, alienda mbali zaidi na kumwambia Kim kuwa amekwisha, jambo ambalo walimwengu kwenye […]

Read More
 KANYE WEST ASHTAKIWA KWA WIZI WA AUDIO

KANYE WEST ASHTAKIWA KWA WIZI WA AUDIO

Rappa kutoka Marekani Kanye West ameripotiwa kushtakiwa na Askofu David Paul Moten kutoka Texas kwa madai ya ku-sample moja kati ya audio ya mahubiri yake na kuitumia katika ngoma yake ya “Come To Life” inayopatikana kwenye album ya Donda bila ya ridhaa yake. Katika nyaraka zilizodakwa na TMZ, Askofu Paul Moten anadai kuwa mahubiri yake […]

Read More
 KANYE WEST NA UNIVERSAL MUSIC GROUP WABURUZWA MAHAKAMANI

KANYE WEST NA UNIVERSAL MUSIC GROUP WABURUZWA MAHAKAMANI

Rapa kutoka Marekani Kanye West pamoja na Universal Music Group wanakabiliwa na kesi ya wimbo wa “Power” alioutoa mwaka 2010. Kwenye wimbo huo, Kanye West alitumia vionjo kutoka kwenye wimbo wa King Crimson “21st Century Schizoid Man,” wa mwaka 1969,. Kwa mujibu wa Variety, Declan Colgan Music Ltd, ambao wanamiliki toleo la awali la wimbo […]

Read More
 THE WEEKND ATISHIA KUJIONDOA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

THE WEEKND ATISHIA KUJIONDOA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

Mwanamuziki kutoka Canada The Weeknd ametishia kujiondoa kwenye orodha ya wasanii kinara ambao wametajwa kutumbuiza kwenye tamasha la Coachella. Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, The Weekd amedai kuwa hatotumbuiza kwenye tamasha la Coachella kama atalipwa shillingi billioni za Kenya ambazo Kanye west alipaswa kupewa. Kauli ya the Weeknd inakuja siku chache baada ya […]

Read More
 KANYE WEST AJIONDOA RASMI KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

KANYE WEST AJIONDOA RASMI KWENYE TAMASHA LA COACHELLA

Rapa kutoka Marekani Kanye West hatotumbuiza kwenye Tamasha la Coachella mwaka huu. Rapa huyo ameripotiwa kujiondoa kwenye orodha ya watumbuizaji wa tamasha hilo huku akiwa msanii kinara. Wakati mashabiki wakiwa bado na maswali juu ya uamuzi huo wa Kanye West, Rapa Travis Scott naye ambaye angeungana na YE Jukwaani, hatokuwepo kwenye tamasha hilo linaloanza wikendi […]

Read More
 KANYE WEST AONDOLEWA KWENYE TUZO ZA GRAMMY

KANYE WEST AONDOLEWA KWENYE TUZO ZA GRAMMY

Rapper kutoka Marekani Kanye West ameondolewa kwenye orodha ya Wasanii waliokuwa wamepangwa kutumbuiza kwenye ugawaji wa Tuzo za Grammy huko Las Vegas wiki mbili zijazo. Msemaji wa Kanye West amesema walipokea simu kutoka kwenye Academy kuwajulisha kuwa rapa huyo ameondolewa kwa sababu inayotajwa kuwa ni kuhusu tabia zake za mtandaoni. Mitandao ya Marekani imeripoti kwamba […]

Read More
 DOCUMENTARY KUHUSU MAISHA YA RAPPER KANYE WEST KUZINDULIWA MACHI 2 MWAKA HUU NETFLIX

DOCUMENTARY KUHUSU MAISHA YA RAPPER KANYE WEST KUZINDULIWA MACHI 2 MWAKA HUU NETFLIX

Sehemu ya tatu (3) ya filamu iliyojaa maisha ya Rapa kutoka nchini Marekani Kanye West iitwayo “Jeen-Yuhs” inatarajiwa kuzinduliwa Machi 2, Mwaka wa 2022 katika mtandao wa NetFlix. Filamu hiyo imetengenezwa kwa kuunganisha vipande vya video alizorekodiwa na marafiki zake waliokuwa wanamfatilia kwa takribani miaka 20. Matukio yaliyojumuishwa kwenye filamu hii ni kama kifo cha […]

Read More