KANYE WEST KWENYE PENZI JIPYA NA MWANAMITINDO CHANNEY JONES

KANYE WEST KWENYE PENZI JIPYA NA MWANAMITINDO CHANNEY JONES

Rapper kutoka nchini Marekani Kanye West ametajwa kuwa kwenye mahusiano mapya na mwanamitindo Channey Jones. Tovuti mbalimbali Marekani zinasema kuwa, Kanye West amekuwa katika mahusiano ya siri na mrembo huyo kwa muda sasa. Uvumi wa Mahusiano yao ulianza kuvuma baada ya Kanye West kuonekana na Mwanadada huyo huko Calfornia, nchini Marekani Februari 9 Mwaka huu. […]

Read More
 KANYE WEST AWAFUTA KAZI MAFUNDI WA MITAMBO WALIOANDAA ONESHO LAKE LA DONDA 2 EXPERIENCE CONCERT

KANYE WEST AWAFUTA KAZI MAFUNDI WA MITAMBO WALIOANDAA ONESHO LAKE LA DONDA 2 EXPERIENCE CONCERT

Microphone ilimzingua sana rapa Kanye West wakati akitumbuiza Jukwaani,ambapo aliamua kuitupa kwa hasira kwenye maji. Rapa huyo alikuwa akitumbuiza kwenye Onesho la ‘Donda 2 Experience Concert’ lililofanyika februari 23 mjini Miami. Tatizo la microphone kusumbua liliripotiwa na baadhi ya kurasa za mitandao ya Kijamii na wadau waliokuwa wanafuatilia onesho hilo mtandaoni. Hata hivyo Kanye West […]

Read More
 APPLE WAONDOA UDHAMINI WAO KWA KANYE WEST BAADA YA KUTANGAZA MSIMAMO WAKE KUHUSU ALBUM YA DONDA 2

APPLE WAONDOA UDHAMINI WAO KWA KANYE WEST BAADA YA KUTANGAZA MSIMAMO WAKE KUHUSU ALBUM YA DONDA 2

Kampuni ya Apple imetangaza kuondoa kiasi cha shilling billion 2.3 pamoja na kuondoa udhamini wake kwa Kanye West ambaye mishoni mwa wiki iiliyopita alitangaza rasmi kuwa album yake mpya “DONDA 2” itapatikana kwenye Jukwaa lake la ‘Strem Player’ kifaa maalum cha kusikiliza muziki. Kupitia ukurasa wake wa instagram wiki iiliyopita, Kanye West alifunguka makubwa ikiwemo […]

Read More
 UHUSIANO WA KANYE WEST NA MPENZI WAKE JULIA FOX WAINGIWA NA UKUNGU, WAMERIPOTIWA KUACHANA

UHUSIANO WA KANYE WEST NA MPENZI WAKE JULIA FOX WAINGIWA NA UKUNGU, WAMERIPOTIWA KUACHANA

Siku ya Valentine’s Day imeenda vibaya kwa rapa Kanye West na mchumba wake Julia Fox. Wawili hao wameripotiwa kuachana rasmi baada ya miezi miwili ya kuwa penzini. Chanzo cha karibu kimeuambia mtandao wa TMZ kwamba YE na Fox wamebaki tu kuwa marafiki na washirika kwenye masuala mengine. Kuisindikiza siku ya Valentine’s, Kanye West amemtumia Kim […]

Read More
 KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

Rapa Kanye West ameonesha mahaba kwa rafiki yake wa karibu kabisa Travis Scott, kwani ametishia ujiondoa kwenye tamasha la Coachella mpaka pale mwanamuziki mwenzake Billie Eilish atakapomuomba msamaha travis scott kwa kum-diss kwenye moja ya tamasha lake alilofanya wikendi iliyopita. Billie Eilish alim-diss Travis Scott kwenye tamasha lake akidai kuwa yeye huwa anasitisha show kama […]

Read More
 DRAKE ALIPITA NA MREMBO JULIA FOX KABLA YA KANYE WEST

DRAKE ALIPITA NA MREMBO JULIA FOX KABLA YA KANYE WEST

Kumbe Rapa Kanye West kutoka nchini Marekani amepita sehemu ambayo rapa mwenzake Drake alipita kitambo. Taarifa mpya mjini zinadai kwamba Drake aliwahi kuwa na mahusiano na mrembo Julia Fox ambaye kwa sasa yupo penzini na Kanye West. Kwa mujibu wa tovuti ya Page Six, penzi lao lilianza mwaka 2020 kufuatia ukaribu ulioanza mwaka 2019 baada […]

Read More
 KIM KARDASHIAN AKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA KANYE WEST KUHUSU UWEPO WA SEXTAPE YAKE NA RAY J

KIM KARDASHIAN AKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA KANYE WEST KUHUSU UWEPO WA SEXTAPE YAKE NA RAY J

Kanye West ameiambia Hollywood Unlocked kwamba alifanikiwa kuupata mkanda wa ngono kutoka kwa Ray J, ikiwa ni sehemu ya pili ya ule ambao ulivuja mwaka 2007 ukimuonesha Ray J na Kim Kardashian wakifanya mapenzi. Kwenye mahojiano ambayo ameyafanya na Hollywood Unlocked, YE amesema Kim alitokwa na machozi baada ya kufikishiwa mkanda huo. “Nilikwenda na kuchukua […]

Read More
 AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE  YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

Mwanamitindo kutoka Marekani, Amber Rose amevunja kimya chake kuhusu sakata linaloizingira ndoa ya  Kim Kardashian na Kanye West baada ya watu kumkumbusha tweet yake ya zamani aliyomponda Kanye West. Tweet hiyo aliyoipost mwaka 2015 baada ya kuachana na Kanye West ilisomeka  “Kanye West, nitawaachia ‘Kartrashians’ wakudhalilishe pale ambapo watakuwa wamemalizana na wewe.” Hiyo ilikuwa baada […]

Read More