Kenya Police FC Yaendeleza Ubabe Baada ya Kuichapa Sofapaka
Timu ya Kenya Police FC iliendeleza mwenendo wake mzuri katika Ligi Kuu ya FKF baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1–0 dhidi ya Sofapaka, katika mechi iliyochezwa jana jioni. Bao pekee la mchezo lilifungwa na Edward Omondi katika dakika ya 41, na likawa la kuamua hatima ya pambano hilo lililokuwa na ushindani mkali. Ushindi […]
Read More