Khadija Kopa Akanusha Kupiga Mnada Gari Lake
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa taarab Khadija Kopa amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa amepiga mnada gari lake aliyonunuliwa na binti yake Zuchu. Kopa amesema kuwa habari hizo si za kweli na hazina msingi wowote. Kwa mujibu wake, uvumi huo ulianza baada ya baadhi ya vijana kupiga picha ya gari lake likiwa limeegeshwa katika maegesho […]
Read More