Rapa Khaligraph Alia Kwa Uchungu Kufuatia Kifo cha Raila
Rapa wa Kenya, Khaligraph Jones, ameeleza majonzi makubwa kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani Raila Amollo Odinga, akisema amebaki bila maneno ya kuelezea machungu anayoyapitia. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Khaligraph amekiri kuguswa sana na taarifa za kifo cha Raila, akieleza kuwa tangu jana amekuwa akihangaika kuamini kilichotokea. Rapa huyo wa ngoma ya […]
Read More