RAPPER KHALIGRAPH JONES MBIONI KUACHIA WIMBO WA INJILI

RAPPER KHALIGRAPH JONES MBIONI KUACHIA WIMBO WA INJILI

Rapper mnoma kwa michuano kutoka Kenya Khaligraph Jones huenda akageukia muziki wa injili baada ya kushare video clip ikimuonesha akiimba na kutayarisha wimbo wa dini. Hata hivyo rapper huyo ambaye amewahi kutamba na hitSong kama “Mazishi, Leave Me Alone, na Yes bana”  anatajwa kulelewa kwenye misingi thabiti ya dini ya Kikristo na mpaka sasa mama […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES ASHINDWA KUFICHA UPENDO WAKE KWA KRISTOFF, AMTAKA RAPA HUYO ARUDI KWENYE MUZIKI

KHALIGRAPH JONES ASHINDWA KUFICHA UPENDO WAKE KWA KRISTOFF, AMTAKA RAPA HUYO ARUDI KWENYE MUZIKI

Rapa Khaligraph Jones ameshindwa kuvumlia ukimya  wa rapa mwenzake Kristoff ambaye amepotea kwenye tasnia ya muziki nchini kwa muda sasa bila kuachia kazi yeyote. Kupitia Instagram page yake Papa Jones amepost clip fupi ya rapa huyo akichana kwenye wimbo wa “We be happening remix” na kusema kwamba ameshangazwa na kilichomsibu Kristoff akapotea ghafla kwenye muziki […]

Read More
 ALBAMU MPYA KHALIGRAPH JONES INVISIBLE CURRENCY KUTOKA MUDA WOWOTE KUTOKA SASA

ALBAMU MPYA KHALIGRAPH JONES INVISIBLE CURRENCY KUTOKA MUDA WOWOTE KUTOKA SASA

Mkali wa muziki wa Hiphop nchini Khalighraph Jones yupo tayari kuiboresha playlist yako hivi karibuni, Kwa mujibu wa Papa Jones anasema albamu yake mpya kutoka studio “Invisible Currency” itaingia sokoni mwezi huu wa Januari. Khalighraph Jones ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo ameandika ” Happy New year Everybody, 2022 we elevate, now […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AGOMA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO WAKE

KHALIGRAPH JONES AGOMA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO WAKE

Aliyekuwa mpenzi wa msanii Khaligraph Jones,Cashy ameshambulia mwanamuziki huyo akidai kuwa amhudumii mtoto wake wa kiume aliyezaa naye mwaka wa 2018 pindi tu walipoachana. Cashy ameshukuru kufunguliwa kwa nchi ambapo amesema kuwa itakuwa afueni kwa wasanii kupata angalau matamasha ya kuwaingizia pesa kwani wengi wao walikuwa wanategemea matamasha kupata riziki. Kutokana na hilo amesema Papa […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.

KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.

Rapa Khaligraph Jones ametusanua kuhusu changamoto alizokutana  nazo katika safari yake ya muziki ambayo ilimpelekea kutaka kuchukua maamuzi magumu kwenye maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa jukwaani katika chuo kikuu cha St. Pauls limuru mwaka wa 2012 na kusema kwamba mashabiki waliikata perfomance yake na kumtimua jukwaani jambo ambalo lilimfanya kufikiria […]

Read More