KHALIGRAPH JONES AWAPA SOMO WASANII WA GENGETONE
Rapa Khaligraph Jones ametoa changamoto kwa wasanii wa muziki wa Gengetone waache kulalamika juu ya kukosa usimamizi. Rapa huyo amewataka wasanii hao, kutotumia silaha ya kukosa uongozi kama chanzo cha wao kushindwa kufanya muziki na badala yake wajifunze kutoa kazi zao wenyewe bila kutegemea lebo za muziki ambazo muda mwingine huwapoteza kimuziki. Katika hatua nyingine, […]
Read More