King Saha Aingilia Mzozo wa Alien Skin na Chameleone
Msanii wa Uganda, King Saha, ametoa onyo kali kwa Alien Skin akimtaka kuacha mara moja kumshambulia nyota wa muziki Jose Chameleone. Akiwa jukwaani wakati wa moja ya shoo zake jijini Kampala, King Saha amesisitiza kuwa yuko tayari kupambana na yeyote atakayemvunjia heshima Chameleone, akimtaja kama mlezi na msanii ambaye ametoa mchango mkubwa katika sekta ya […]
Read More