KING SAHA AFUNGUKA SABABU ZA KUFELI KWA MIPANGO YA KUFUFUA KUNDI LA GOODLYF CREW

KING SAHA AFUNGUKA SABABU ZA KUFELI KWA MIPANGO YA KUFUFUA KUNDI LA GOODLYF CREW

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha amefunguka sababu za kundi la Goodlife Crew kushindwa kurudi kwenye muziki licha ya mashabiki kushinikiza achukue nafasi ya marehemu, Mozey Radio. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni King Saha amesema licha ya kufanya majaribio ya kufufua kundi hilo kwa kuachia ngoma mbili na member wa Goodlife, Weasel Manizo imekuwa […]

Read More
 KING SAHA ATANGAZA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, AWASHAURI VIJANA KUJITENGA NA DAWA HIZO

KING SAHA ATANGAZA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, AWASHAURI VIJANA KUJITENGA NA DAWA HIZO

Inaonekana mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha ameanza kuwa mtu mwema hii ni baada ya kukiri hadharani kuwa ameachana kabisa na matumizi ya mihadarati. Katika  mahojiano yake hivi karibuni King Saha amethibitisha kuacha kutumia madawa ya kulevya na badala yake amehamua kuelekeza nguvu zake zote kwenye suala la kuiweka mwili wake sawa na pia kuboresha […]

Read More