KING SAHA AMJIBU KISOMI ALLAN HENDRICK

KING SAHA AMJIBU KISOMI ALLAN HENDRICK

Mwanamuziki kutoka Uganda King Saha amethibitisha kuwa hawezi mujibu kijana wa Bebe Cool Allan Hendrick ambaye alimshambulia kupitia wimbo uitwao Matayo ambao aliuachia jumatatu wiki iliyopita. Katika mahojiano yake hivi karibuni King Saha ameeleza adui yake ni Bebe Cool na sio mwanae Allan Hendrick. Msanii huyo amesema Allan Hendrick anatumia jina lake kutafuta umaarufu. “Sitamjibu […]

Read More
 KING SAHA KUSUSIA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WANAMUZIKI UGANDA UMA

KING SAHA KUSUSIA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WANAMUZIKI UGANDA UMA

Hitmaker wa ngoma ya “Zakayo”, Msanii King Saha amehapa kususia uchaguzi wa Chama cha Wanamuziki nchini Uganda kama chama hicho hakitatumia mfumo wa kawaida wakupanga foleni kwenye vituo vya kupiga kura. Katika mahojiano yake hivi karibuni King Saha ameonesha kutofurahishwa na maandalizi ya uchaguzi huo kwa kusema kwamba huenda uongozi wa chama cha UMA unalenga […]

Read More
 KING SAHA AFUNGUKA KUPATA SHINIKIZO ZA KUJIUNGA NA SIASA

KING SAHA AFUNGUKA KUPATA SHINIKIZO ZA KUJIUNGA NA SIASA

Mwanamuziki kutoka Uganda King Saha amefichua kuwa watu wake wa karibu wameanza kumpa shinikizo za kujiunga na siasa. Katika mahojiano yake hivi karibuni King Saha amesema β€œNina majirani ambao kila mara wananisukuma nijiunge na siasa, lakini bado nafakiria juu suala hilo. Huwezi jua, siku moja naweza kuwa mbunge,” King Saha ambaye anagombea wadhfa wa urais […]

Read More
 KING SAHA AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA SERIKALI YA UGANDA

KING SAHA AFUNGUKA KUFANYA KAZI NA SERIKALI YA UGANDA

Msanii nyota kutoka Uganda King Saha amefunguka na kudai kwamba yuko tayari kufanya kazi na serikali ya nchini hiyo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa muungano wa Wanamuziki nchini uganda (UMA). Mkali huyo wa ngoma ya “Sivaawo” ameeleza katika mahojiano ya hivi karibuni kuwa ili muungano huo unufaike ni lazima uongozi wa UMA ushirikiane na watekelezaji […]

Read More
 KING SAHA KUMCHAGUA BEBE COOL KUWA MSHAURI WAKE UMA

KING SAHA KUMCHAGUA BEBE COOL KUWA MSHAURI WAKE UMA

Msanii nyota nchini Uganda King Saha amedai kwamba atamchagua Bebe Cool kuwa mshauri wake pindi atakapochaguliwa kuwa rais wa muungano wa wanamuziki nchini humo. Katika mkao na wanahabari King Saha amesema atafanya kazi na wasanii wote bila upendeleo licha ya baadhi yao kupinga azma yake ya kuwa rais wa muungano wa wasanii nchini Uganda. Utakumbuka […]

Read More
 KING SAHA AMJIBU BEBE COOL KWA KEJELI BAADA YA KUPINGA AZMA YAKE YA KUWA RAIS WA MUUNGANO WA WASANII UGANDA

KING SAHA AMJIBU BEBE COOL KWA KEJELI BAADA YA KUPINGA AZMA YAKE YA KUWA RAIS WA MUUNGANO WA WASANII UGANDA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha amejibu madai yaliyoibuliwa na Bebe Cool kuwa hana vigezo vya kuuongoza muungano wa wasanii nchini humo kutokana na kuathirika pakubwa na matumizi ya dawa za kulevya. Kupitia mitandao yake ya kijamii King Saha ameshare video ya Bebe Cool akimzungumzia vibaya na kuweka caption ya kumshukuru kwa kejeli huku akisema […]

Read More
 KING SAHA AKIRI KUTUMIA BANGI KWA WINGI KIPINDI CHA KORONA

KING SAHA AKIRI KUTUMIA BANGI KWA WINGI KIPINDI CHA KORONA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha ameingia kwenye headlines mara baada ya kukiri hadharani kuwa alitumia sana bangi kwa wingi kipindi cha corona. Katika mahojiano yake hivi karibuni King Saha amesema asingetumia bangi kwa wingi angeshafariki kitambo au angeshambukizwa virusi vya korona kwani kwa mujibu wake dawa hizo alizitumia kujikinga na hadharani. Kauli ya King […]

Read More