Studio ya Nandor Love Yavamiwa na Majambazi Uganda
Msanii wa muziki kutoka Uganda, Nandor Love, anapitia wakati mgumu baada ya studio yake, Ghost Empire Records, kuvamiwa na majambazi na kuporwa vifaa vya thamani usiku wa kuamkia jana. Kwa mujibu wa Nandor Love, wahalifu hao waliiba vifaa kadhaa vya muziki na uzalishaji ambavyo ni muhimu kwa shughuli za kila siku za Ghost Empire Records. […]
Read More