Mchekeshaji Nasra Yusuf Apigwa Block na Zuchu Instagram Kisa Maandamano Tanzania

Mchekeshaji Nasra Yusuf Apigwa Block na Zuchu Instagram Kisa Maandamano Tanzania

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Nasra Yusuf, amedai kwamba msanii wa Bongo Fleva Zuchu amempiga block kwenye mtandao wa Instagram. Nasra amesema hatua hiyo imekuja baada ya yeye kushinikiza wasanii wa Tanzania kuzungumza wazi kuhusu hali ya maandamano na ukatili unaoripotiwa nchini humo. Kwa mujibu wa Nasra, lengo lake lilikuwa kuwataka mastaa kutumia ushawishi wao kukemea […]

Read More
 Nasra Yusuf Akashifu Mastaa wa Bongo kwa Kushindwa Kukemea Maovu Tanzania

Nasra Yusuf Akashifu Mastaa wa Bongo kwa Kushindwa Kukemea Maovu Tanzania

Mchekeshaji wa Kenya, Nasra Yusuf, amewakosoa vikali wasanii nyota nchini Tanzania akiwemo Diamond Platnumz, Zuchu, Rayvanny, Harmonize, Alikiba, Mbosso, Juma Jux, Nandy na Jay Melody kwa kutozungumzia machafuko yanayoendelea nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha mitandaoni, Nasra ameeleza kushangazwa na ukimya wa wasanii hao wakati ambapo mashabiki wao wanapitia mateso makubwa kutokana na vurugu na ukosefu […]

Read More