OTILE BROWN AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA NABAYET

OTILE BROWN AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA NABAYET

Msanii wa muziki nchini, Otile Brown amesema moja ya sababu ya kuachana na mpenzi wake, Nabayet (Nabii) kutokea Ethiopia ni mrembo huyo kutokuwa tayari kuhamia nchini Kenya. Akizungumza na Presenter Ali, Otile Brown amesema Nabayet alishindwa kuhamia Kenya kwa sababu ya baadhi ya masuala ya kifamilia ambayo yalikuwa muhimu sana katika tamaduni za Waethiopia. Mahusiano […]

Read More
 OTILE BROWN ALAMBA DILI NONO LA KUWA BALOZI TECNO

OTILE BROWN ALAMBA DILI NONO LA KUWA BALOZI TECNO

Mwanamuziki nyota nchini Otile Brown amelamba dili nono la kuwa balozi mpya wa Simu ya mkono ya Tecno Camon 19 kwa upande wa Kenya. Otile Brown ametangaza habari njema kwa wafuasi wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kwamba ana furaha kubwa kujiunga na familia ya Tecno inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu […]

Read More
 OTILE BROWN AKOSHWA NA KIPAJI CHA ABBY CHAMS, ATHIBITISHA COLLABO

OTILE BROWN AKOSHWA NA KIPAJI CHA ABBY CHAMS, ATHIBITISHA COLLABO

Staa wa Muziki Nchini Otile Brown ameshindwa kujizuia na kufunguka hadharani jinsi anavyomukubali Msanii wa Kike kutoka Tanzania Abby Chams. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Otile ameonesha kuukubali uwezo wa Mrembo huyo kwa kushare picha ya wimbo wa Rayvanny aliomshirikisha Abby Chams, STAY na kuandika ujumbe unaosomeka ” abby_chams Mashallah  coming to tanzania anytime Inshallah hopn to […]

Read More
 OTILE BROWN AWAKINGIA KIFUA WASANII WA KENYA

OTILE BROWN AWAKINGIA KIFUA WASANII WA KENYA

Staa wa muziki nchini Otile Brown amewajibu baadhi ya watu wanaowakosoa wasanii wa Kenya wakidai kuwa wamefulia kiuchumi. Kupitia Instagram Otile Brown amewakingia kifua wasanii wa Kenya kwa kusema kwamba wana mafanikio makubwa kiuchumi Barani Afrika kuliko wasanii wanaozungumzia sana kwenye vyombo vya habari. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Run Up” amewatolea uvivu wadau muziki […]

Read More
 OTILE BROWN AKOSHWA NA MFUMO WA MUZIKI WA AFRIKA KUSINI

OTILE BROWN AKOSHWA NA MFUMO WA MUZIKI WA AFRIKA KUSINI

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Otile Brown ameusifia mfumo wa muziki wa Afrika Kusini ambao ameutaja kuulinda zaidi muziki wa ndani kwa kutoupa nafasi muziki wa mataifa mengine ndani ya nchi hiyo. Kupitia nstastory yake kwenye mtandao wa Instagram Otile Brown amedai kuwa kwenye kiwanda cha muziki nchini Afrika Kusini kuna hali kujipa kipaumbele zaidi kwani […]

Read More
 OTIILE BROWN AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAHUSIANO

OTIILE BROWN AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAHUSIANO

Nyota wa muziki nchini Otile Brown, amesema licha ya kusumbuliwa na warembo kwa sasa hayupo kwenye mahusiano,yaani yupo ‘Single’. Mkali huyo anayefanya vizuri na EP yake mpya Uptown Flex amedai kwa sasa hataki kukurupuka kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi kutokana na matukio aliyopitia kipindi cha nyuma. Otile Brown amefunguka hayo  kwenye Instagram live, mara baada […]

Read More
 OTILE BROWN AHITAJI MAOMBI KUHUSU AFYA YAKE

OTILE BROWN AHITAJI MAOMBI KUHUSU AFYA YAKE

Siku chache tu baada ya kufanyiwa upasuaji, mwanamuziki kutoka Kenya, Otile Brown amewaacha mashabiki wake katika hali ya wasiwasi kutokana na chapisho lake kwenye mitandao ya kijamii. Otile Brown ametoa taarifa fupi kuhusu afya yake akifichua kwamba anashuhudia maumivu makali sana mwili mwake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amewasihi mashabiki wake kumkumbuka katika maombi yao […]

Read More
 OTILE BROWN KUACHIA UPTOWN FLEX EP ALHAMISI HII

OTILE BROWN KUACHIA UPTOWN FLEX EP ALHAMISI HII

Msanii nyota nchini Otile Brown ametangaza kuachia EP mpya chini ya  lebo yake ya muziki ya Just in Love ambayo ni zawadi kwa mashabiki zake kuelekea siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day. EP hiyo inakwenda kwa jina la Uptown Flex itakuwa na jumla ya nyimbo 5 ambazo amezifanya mwenyewe bila kumshirikisha msanii yeyote. Kupitia […]

Read More