RINGTONE AMKASHIFU NYANSHINSKI KUTOKANA NA TAMASHA LAKE LA SHIN CITY
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Ringtone amemtolea uvivu rapa Nyashinski baada ya kuandaa tamasha lake la Shin City wikiendi hii iliyomalizika. Kupitia ukurasa wake wa instagram ringtone amesema kwamba inasikitisha kuona msanii wa haiba ya Nyashinski anaendekeza ufuska na uesharati wakati yeye kama msanii wa injili anaendeleza harakati za kubadilisha kizazi kijacho. “WE IS […]
Read More