RINGTONE ATIA NENO SAKATA LA WILLY PAUL NA DIANA MARUA

RINGTONE ATIA NENO SAKATA LA WILLY PAUL NA DIANA MARUA

Baada ya sakata la Willy Paul na Diana Marua kugonga vichwa vya habari nchini Staa wa muziki wa injili Ringtone ameamua kuvunja kimya chake juu ya suala hilo. Akipiga stori na online Media Ringtone ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba Wakenya wamechoshwa na kile ambacho kinaendelea kati ya Willy Paul, Bahati na Diana Marua, hivyo […]

Read More