Polisi Kigoma Wakanusha Taarifa za Msanii Shilole Kupata Ajali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha rasmi taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hasa TikTok, zikidai kuwa msanii wa muziki Shilole alipata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa safarini kutoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoa wa Dodoma. Katika taarifa kwa umma, Polisi wamesema kuwa hakuna taarifa yoyote ya ajali hiyo iliyowasilishwa katika kituo chochote […]
Read More