Spice Diana afunguka kuhusu ugomvi wake na walinzi akiwa jukwaani

Spice Diana afunguka kuhusu ugomvi wake na walinzi akiwa jukwaani

Msanii kutoka nchini Uganda Spice Diana amefunguka sababu kutupiana maneno makali na walinzi alipokuwa jukwaani akitumbuiza katika uwanja wa Bugembe huko Jinja. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni mrembo huyo amesema alikerwa na kitendo cha walinzi kuwazuia mashabiki zake kumkaribia licha kuwa walikuwa wamelipa kiingilio cha shillingi elfu 5 kila mmoja. Hitmaker huyo wa “Boss” amesisitiza […]

Read More
 Spice Diana atishia kuwafungia nje wasanii watakaovalia mavazi  yasiyo na staha kwenye onesho lake la muziki 2023

Spice Diana atishia kuwafungia nje wasanii watakaovalia mavazi yasiyo na staha kwenye onesho lake la muziki 2023

Mwanamuziki kutoka Uganda Spice Diana amedai kuwa hataruhusu wasanii watakaovalia mavazi yanayokwenda kinyume na madili ya jamii kutumbuiza kwenye tamasha lake la muziki mwaka 2023. Katika mkao na wanahabari Spice Diana amesema tamasha hilo itakuwa ya kifamilia zaidi, hivyo kutakuwa na ustaarabu kwenye suala la mavazi. Mrembo huyo amesema tayari ana timu ya watu ambao […]

Read More
 SPICE DIANA AZIDI KUMUANDAMA PROMOTA MUTIMA KISA DENI

SPICE DIANA AZIDI KUMUANDAMA PROMOTA MUTIMA KISA DENI

Mwanamuziki kutoka Uganda Spice Diana ameonesha kusikitishwa na hatua ya promota Robert Mutima kukataa kumlipa pesa zake zilizosalia baada ya kutumbuiza kwenye show ya promota huyo huko Masaka. Mrembo huyo amesema licha ya promota huyo kuahidi kumlipa pesa hizo kwa wakati hadi sasa hajatimiza ahadi yake hiyo ambapo amehapa kuwa ataendelea na harakati ya kumshinikiza […]

Read More
 PROMOTA MUTIMA AMVUA NGUO SPICE DIANA KWA KUMVUNJIA HESHIMA

PROMOTA MUTIMA AMVUA NGUO SPICE DIANA KWA KUMVUNJIA HESHIMA

Siku chache baada ya Promota Robert Mutima kumuomba radhi msanii Spice Diana kwa kuchelewesha pesa zake, promota huyo ameibuka tena kumchana msanii huyo kwa kitendo cha kumuahibisha mbele ya mashabiki zake. Mutima amesema alishangazwa na kitendo Spice Diana na huenda mrembo huyo anatumia mihadarati kabla ya kupanda jukwaani kwani njia ambayo alitumia kudai haki yake […]

Read More
 PROMOTA ROBERT MUTIMA AOMBA RADHI KWA SPICE DIANA

PROMOTA ROBERT MUTIMA AOMBA RADHI KWA SPICE DIANA

Promota wa muziki kutoka Uganda Robert Mutima amemuomba msamaha msanii Spice Diana baada ya kushindwa kumlipa pesa zake. Katika taarifa promota huyo amekiri kumvunjia heshima mrembo huyo kwa kusema kwamba hakuweza kumlipa kwa wakati kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake. Hata hivyo Spice Diana amepokea msamaha wa promota huyo kwa mikono miwili huku […]

Read More
 SPICE DIANA MBIONI KUANDAA ONESHO LAKE LA MUZIKI

SPICE DIANA MBIONI KUANDAA ONESHO LAKE LA MUZIKI

Msanii Spice Diana ameripotiwa kuwa yupo mbioni kuja na onesho lake la muziki huko Cricket Oval viungani mwa jiji la Kampala. Chanzo cha karibu na msanii huyo wa Source management kimesema Spice Diana anatarajiwa kufanya onesho lake la muziki katika ukumbu wa Cricket Oval mwakani. Inadaiwa Spice Diana anataka kuweka rekodi ya kujaza ukumbi huo […]

Read More
 TUHUMA ZA MAUJI ZAZIDI KUMUANDAMA SPICE DIANA

TUHUMA ZA MAUJI ZAZIDI KUMUANDAMA SPICE DIANA

Sakata la kijana aliyewauwa nyumbani kwa Spice Diana Henry Nsamba limechukua sura mpya baada ya Mulindwa Lawrence ambaye ni kaka wa mwendazake kudai kuwa ndugu yake alikuwa ana mpango wa kufanya wimbo wa pamoja na msanii huyo. Kulingana na Lawrence, Nsamba alikuwa anafanya vibarua ya kutengeneza matofali mitaani kwa ajili ya kuchangisha pesa za kufanikisha […]

Read More
 FAMILIA YA KIJANA ALIYEUWAWA NYUMBANI KWA SPICE DIANA YATAKA HAKI

FAMILIA YA KIJANA ALIYEUWAWA NYUMBANI KWA SPICE DIANA YATAKA HAKI

Familia ya Henry Nsamba kijana anayedaiwa kupigwa nyumbani kwa Spice Diana na baadae akafariki Hospitalini inashinikiza kukamatwa kwa mwanamuziki huyo kutoka Uganda. Inadaiwa kuwa mwendazake ambaye alikuwa mfanyikazi wa kutengeneza matofali alifumaniwa Juni 30 mwaka huu akitaka kutekeleza kitendo cha wizi wa nyumbani kwa Spice Diana ndiposa akashushiwa kichapo cha mbwa kilichompelekea kufariki. Johnson Matovu, […]

Read More
 SPICE DIANA MBIONI KUJA NA TOUR YAKE YA MUZIKI

SPICE DIANA MBIONI KUJA NA TOUR YAKE YA MUZIKI

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Spice Diana inaonekana hataki kabisa kulaza damu kwenye suala la kuupeleka muziki wake kimataifa. Msanii huyo wa Source Managemnent ambaye ameamua kuwapuuza baadhi ya watu wanakosoa muziki wake, ametangaza kuwa yupo kwenye matayarisho ya mwisho kwa ajili ya kuja na tour yake ya muziki nchini uganda. Hitmaker huyo wa ngoma ya […]

Read More
 ROGER LUBEGA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU, ADAI ANATUMIA JINA LA SPICE DIANA KUTAFUTA KIKI

ROGER LUBEGA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU, ADAI ANATUMIA JINA LA SPICE DIANA KUTAFUTA KIKI

Meneja wa Spice Diana, Roger Lubega amemjibu Gravity Omutujju kuonekana kumshambulia katika siku za hivi karibuni kwa kudai kwamba ni mnafiki na hajawahi watakiwa wasanii wengine mema kwenye muziki wao. Katika mahojiano yake Roger Lubega amesema hana ugomvi wowote na Omutujju huku akidai kuwa rapa huyo anatumia jina la msanii wake Spice Diana kutengeneza matukio […]

Read More
 SPICE DIANA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU KITAALAM

SPICE DIANA AMJIBU GRAVITY OMUTUJJU KITAALAM

Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Spice Diana amemjibu rapa Gravity Omutujju kisomi baada ya rapa huyo kumshambulia kwa kudai kwamba ni mnafiki. Katika mahojiano yake Spice Diana amesema hana muda wa kupishana na Gravity Omutuju kwa kuwa ameelekeza nguvu zake zote kutangaza muziki wake ili uwafikie watu wengi duniani. Mwishoni mwa juma lilopita Gravity […]

Read More