SPICE DIANA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

SPICE DIANA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka nchini Spice Diana Uganda ameachia rasmi EP yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. EP hiyo inakwenda kwa jina la Star Gal ina jumla ya nyimbo 4 za moto ikiwa na kolabo mbili  kutoka kwa wakali kama Jose Chameleone, John Blaq na Daddy Andre. Star Gal ambayo kwa sasa […]

Read More
 SPICE DIANA KUACHIA EP YAKE MPYA WIKI IJAYO

SPICE DIANA KUACHIA EP YAKE MPYA WIKI IJAYO

Staa wa muziki kutoka Uganda Spice Diana ameweka wazi tarehe ambayo EP yake mpya ya Star Gal itaingia sokoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Spice Diana amethibitisha kwamba Ep yake itaingia sokoni Mei 26 mwaka huu baada ya kukamilka kwa hafla ya usikilizaji wa Stargal EP ambayo pia itafanyika siku hiyo. Licha kuweka wazi tarehe ambayo ataachia EP […]

Read More
 SPICE DIANA ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

SPICE DIANA ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Nyota wa muziki kutoka Uganda Spice Diana ametangaza kuja na Extended Playlist ‘EP’ yake aliyoipa jina la ‘Stargal. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Spice Diana amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itaingia sokoni hivi karibuni. Pamoja na kutangaza ujio wa ep hajaweka wazi idadi nyimbo na wasanii aliowashirikisha kwenye EP yake ya […]

Read More
 SPICE DIANA AMSHAURI SHEEBAH KARUNGI KUWAAJIRI WALINZI

SPICE DIANA AMSHAURI SHEEBAH KARUNGI KUWAAJIRI WALINZI

Nyota wa muziki nchini Uganda Spice diana ameonekana kukerwa na kitendo cha msanii mwenzake Sheebah karungi kudhalalishwa kingono wiki iliyopita kwenye moja ya performance yake Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Spice diana amelaani vikali kitendo cha msanii huyo kuvunjia heshima akiwa kwenye shughuli zake za kimuziki huku akitoa changomoto kwa Sheebah Karungi kuawaajiri walinzi […]

Read More
 SPICE DIANA AKANUSHA BIFU LAKE NA MSANII MWENZAKE AZAWI

SPICE DIANA AKANUSHA BIFU LAKE NA MSANII MWENZAKE AZAWI

Nyota wa muziki kutoka nchini Uganda Spice Diana kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu suala la kuwa kwenye ugomvi na msanii mwenzake Azawi ambaye juzi kati ameshinda tuzo ya Janzi awards mwaka wa 2021. Hitmaker huyo wa “Upendo” amesema hana ugomvi na Azawi ambaye alishinda tuzo ya msanii bora wa kike kwenye tuzo za  Janzi […]

Read More