Stevo Simple Boy na Brenda Watarajia Mtoto wa Kwanza
Msanii maarufu wa muziki Stevo Simple Boy ametangaza rasmi kwamba yeye na mpenzi wake Brenda wanatarajia mtoto wao wa kwanza. Taarifa hiyo imewavutia maelfu ya mashabiki baada ya Stevo kushiriki picha za kupendeza za mpenzi wake akiwa na ujauzito kupitia ukurasa wake wa Instagram. “Maisha ni safari… sasa kuna kijana au kamrembo anakuja kuendeleza legacy […]
Read More