Stevo Simple Boy Amkataa Hadharani Pritty Vishy

Stevo Simple Boy Amkataa Hadharani Pritty Vishy

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Stevo Simple Boy, ameibuka na kauli nzito dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Pretty Vishy, akidai kuwa hamtambui kama mtu maarufu nchini humo. Akizungumza na Mannu Podcast, Stevo amesema Pretty Vishy alitumia kivuli cha mahusiano yao kujitengenezea jina na kujipendekeza kwa umma, akisisitiza kuwa umaarufu wake ulitokana zaidi na kuhusishwa naye […]

Read More
 Stevo Simple Boy Adai Kushawishiwa Kujiunga na Freemason

Stevo Simple Boy Adai Kushawishiwa Kujiunga na Freemason

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Stevo Simple Boy, amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha yake kwa kudai kuwa aliwahi kupewa ofa ya kujiunga na kundi la Freemason kwa ahadi ya kulipwa shilingi milioni 10, lakini alikataa. Akizungumza na Dkt. Ofweneke, Stevo amesema kuwa kulikuwa na kipindi katika safari yake ya muziki ambapo watu wasiojulikana walimshawishi ajiunge na […]

Read More
 Stivo Simple Boy Ahitimu Diploma ya Hospitality

Stivo Simple Boy Ahitimu Diploma ya Hospitality

Msanii wa Kenya, Stivo Simple Boy, ameongeza hatua nyingine muhimu katika safari yake ya maisha baada ya kuhitimu masomo yake na kupata Diploma katika kozi ya Hospitality. Stivo ameshiriki furaha yake kupitia mitandao ya kijamii, akipakia picha akiwa amevalia mavazi ya mahafali pamoja na ujumbe mfupi wenye uzito mkubwa unaosomeka “God wins.” Msanii huyo ameahidi […]

Read More
 Stevo Simple Boy Aonyesha Muonekano Mpya wa Gari Lake

Stevo Simple Boy Aonyesha Muonekano Mpya wa Gari Lake

Msanii Stevo Simple Boy ameivutia mitandao baada ya kufichua sura mpya ya gari lake aina ya Nissan March, ambalo sasa limechorwa graffiti kali yenye mandhari ya joka (dragon). Gari hilo limepambwa na michoro mikubwa yenye rangi ang’avu na taswira ya joka, ikitoa mwonekano wa kipekee unaoendana na mtindo wa Stevo Simple Boy na taswira yake […]

Read More
 Stevo Simple Boy Anawishwa Mikono na Pombe ya KSh 100,000

Stevo Simple Boy Anawishwa Mikono na Pombe ya KSh 100,000

Msanii wa muziki wa Kenya, Stevo Simple Boy, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti video ikimuonesha akioshwa mikono na bilionea Chief Godlove kwa kutumia pombe ghali zaidi aina ya Clase Azul kwenye moja ya nightclub Jijini Nairobi. Katika video hiyo iliyosambaa kwa kasi mtandaoni, Stevo anaonekana akifurahia tukio hilo huku akionekana mwenye bashasha. Kupitia ukurasa […]

Read More
  Msanii Stevo Simple Boy Abarikiwa Mtoto wa Kiume na Mpenzi Wake Brenda

 Msanii Stevo Simple Boy Abarikiwa Mtoto wa Kiume na Mpenzi Wake Brenda

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Stevo Simple Boy na mpenzi wake Brenda, wamekaribisha mtoto wao wa kwanza, mvulana waliompa jina Dragon Junior. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Stevo ameshiriki picha akiwa pamoja na Brenda wakimkumbatia mtoto wao mchanga na kufahamisha mashabiki kuwa Dragon Junior amezaliwa salama. Pia ametoa shukrani kwa wafuasi wake kwa sapoti […]

Read More
 Stevo Simple Boy Ampeleka Mpenzi Wake Mjamzito Likizo Maalum Diani

Stevo Simple Boy Ampeleka Mpenzi Wake Mjamzito Likizo Maalum Diani

Msanii Stevo Simple Boy, ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho baada ya kufanikisha hatua ya kuruka kwa ndege kwa mara ya kwanza. Safari hiyo haikuwa ya kawaida, kwani alichagua kumpeleka mpenzi wake mjamzito kwenye likizo maalum huko Diani. Kupitia mitandao ya kijamii, Stevo alishiriki picha na video wakila bata, wakiburudika katika mandhari mazuri […]

Read More
 Stevo Simple Boy Ajibu Wanaodai Anatumia Magari Kutafuta Umaarufu

Stevo Simple Boy Ajibu Wanaodai Anatumia Magari Kutafuta Umaarufu

Msanii Stevo Simple Boy amenyosha maelezo kuhusu umiliki wa gari aina ya Nissan March aliloinunua hivi karibuni. Hii ni baada ya walimwengu kutilia shaka uhalali wake na kuhoji kwamba msanii huyo amekuwa akitumia magari kutafuta kiki mtandaoni ilhali sio mmiliki halisi. Kupitia Insta Story yake, Stevo amekanusha kutumia magari kutafuta umaarufu, akisisitiza kuwa safari yake […]

Read More