Ruger amkataa Stevo Simple Boy
Hitmaker wa “Girlfriend”, Msanii Ruger amemkataa hadharani Stevo Simple Boy baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kama ana wimbo wa pamoja na msanii huyo wa Men In Business. Ruger ambaye yupo nchini kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki amesema hamjui kabisa msanii huyo huku akithibitisha ujio wa ngoma yake na kundi la Sauti […]
Read More