Tenge Tenge Aangua Kilio Baada ya Kukutana na IShowSpeed Kenya
Content creator kutoka Uganda, Tenge Tenge, ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake baada ya kukutana ana kwa ana na streamer na YouTuber wa kimataifa IShowSpeed wakati wa ziara yake nchini Kenya. Katika tukio lililovutia hisia za wengi, Tenge Tenge alionekana akimkumbatia IShowSpeed huku akitiririkwa na machozi ya furaha. Tenge alisikika akieleza wazi namna ambavyo anamkubali na […]
Read More