Asili ya Vera Sidika Yazua Mvutano Mitandaoni

Asili ya Vera Sidika Yazua Mvutano Mitandaoni

Mrembo maarufu mtandaoni Vera Sidika amejipata pabaya mbele ya walimwengu baada ya kudai kuwa watu wengi hudhani anatokea Jamaica au Afrika Kusini kutokana na muonekano wake. Kauli hiyo imeonekana kuwakera baadhi ya mashabiki waliomtaka akubali asili yake kama Mluya kutoka Kakamega badala ya kujipendekeza kwa umma. Mashabiki wengi walimshauri aache drama zisizo na msingi na […]

Read More
 Vera Sidika Ajigamba: Mimi Ndiye Msanii Pekee Niliye na Range Rover Mpya Kenya

Vera Sidika Ajigamba: Mimi Ndiye Msanii Pekee Niliye na Range Rover Mpya Kenya

Mrembo maarufu na mfanyabiashara Vera Sidika amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yeye ndiye msanii pekee nchini Kenya anayeendesha Range Rover mpya ya muundo wa kisasa, ambayo haijabadilishwa sura (facelift), haijakodishwa wala kukopeshwa. Kupitia mitandao ya kijamii, Vera amejigamba kuwa gari hilo la kifahari ni la kwake binafsi, likiwa katika umbo jipya kabisa ambalo […]

Read More
 Vera Sidika Awajibu Wanaomkejeli kwa Kufanya Club Appearance Busia

Vera Sidika Awajibu Wanaomkejeli kwa Kufanya Club Appearance Busia

Sosholaiti na mfanyabiashara maarufu Vera Sidika amevunja kimya kufuatia kejeli za mitandaoni kutoka kwa baadhi ya Wakenya waliomkejeli kwa kufanya club appearance mjini Busia, hatua ambayo baadhi waliiita “recession indicator” ya maisha yake. Kupitia InstaStory yake, Vera alionekana kutoyumbishwa na maoni hayo, akisisitiza kuwa anajivunia kuwa na uwezo wa kuungana na mashabiki wake kote nchini, […]

Read More
 Vera Sidika athibitisha kuwa mjamzito

Vera Sidika athibitisha kuwa mjamzito

Mrembo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika ni mjamzito kwa mara nyingine ikiwa ni siku chache zimepata tangu tetesi  zilipoibuka mtandaoni kuwa amekuwa akificha tumbo lake mbele ya camera. Kupitia ukurasa wake wa instagram Vera amethibitisha kuwa anatarajia mtoto wake wa pili na mumewe Brown Mauzo huku akieleza ni furaha kwake kupata mtoto mwingine Mwanamama huyo […]

Read More
 Vera Sidika afunguka kubeba ujauzito mwingine

Vera Sidika afunguka kubeba ujauzito mwingine

Mrembo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika amevunja kimya kuhusu madai kuwa ni mjamzito kwa mara ya pili. Wanamitandao wamekuwa wakidai kuwa mama huyo ni mjamzito kwani amekuwa akificha tumbo lake kila anapoenda. “Mbona muamini hayo? hii ilikuwa mwaka jana nilipokuwa na mimba ya Asia na nilificha nikiwa nimevalia nguo hii, dah! watu wanaweza kueneza uvumi,” […]

Read More
 Vera Sidika adaiwa kuwa mjamzito

Vera Sidika adaiwa kuwa mjamzito

Soshalaiti maarufu mtandaoni Vera Sidika amedaiwa kuwa mjamzito. Tetesi hizo zimeibuka mara baada ya wengi kumuona kwenye mitandao ya kijamii akiwa ameficha tumbo lake mbele ya camera jambo ambalo si kawaida yake. Lakini pia nguo kubwa (Oversize) ambayo amekuwa akivalia katika siku za hivi karibuni limefanya walimwengu kupigia mstari kuwa mrembo huyo ni mjamzito. Ikiwa […]

Read More
 Wimbo wa Vera Sidika waweka rekodi ya kutopendwa kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya

Wimbo wa Vera Sidika waweka rekodi ya kutopendwa kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya

Video ya Wimbo wa Vera Sidika ‘Popstar’ unatajwa kuwa video ya muziki isiyopendwa zaidi nchini Kenya kwenye mtandao wa YouTube. Kulingana na program ya Dislike Viewer plugin, Video ya wimbo huo ,imepata zaidi ya dislikes 39,000, ikiipiku video ya Willy Paul ‘Lamba Nyonyo’ iliyotoka miaka 3 iliyopita ambayo ina zaidi ya dislikes 38,000, Vera Sidika […]

Read More
 Vera Sidika atamani kupata mtoto wa kiume

Vera Sidika atamani kupata mtoto wa kiume

Mwanasosholaiti Vera Sidika amesema kuwa anatamani kuwa na mtoto wa kiume siku za mbeleni ili wawe na ukaribu kama wa bintiye Asia Brown na baba yake Brown Mauzo. Vera amesema kuwa sababu yake ya kutamani kuwa na mtoto wa kiume ni kuwa anauonea wivu urafiki wa karibu ambao Asia na Brown Mauzo wako nao. “Mwenyenzi […]

Read More
 Vera Sidika awatolea uvivu wanaokosoa nywele za binti yake Asia Brown

Vera Sidika awatolea uvivu wanaokosoa nywele za binti yake Asia Brown

Soshalaiti maarufu mtandaoni kutoka nchini Kenya Vera Sidika ameshindwa kuwavumilia wanaokashifu mtindo wa nywele ya binti yake mchanga Asia Brown ambayo alikuwa amesukwa  kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vera amesema watu wanaomunyoshea kidole cha lawama kuwa anamtesa binti yake kwa kumwekea nywele nzito kichwani ni malimbukeni kwani nywele […]

Read More
 Vera Sidika atumia millioni 2 kuongeza maziwa

Vera Sidika atumia millioni 2 kuongeza maziwa

Mrembo kutoka nchini Kenya, Vera Sidika amefichua kiasi cha fedha alichotumia kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matiti yake. Akijibu maswali kwenye ukurasa wake wa Instagram, mke huyo wa Brown Mauzo alisema kuwa alitumia zaidi ya shillingi millioni 2 na upasuaji huo ulifanyiwa nje ya nchi ya Kenya. “Ilinigharimu dola elfu 20,” alisema Vera ambaye ni Mama […]

Read More