Vera Sidika atumia shape kama kiki

Vera Sidika atumia shape kama kiki

Baada ya kuchafua hali ya hewa siku chache zilizopita, Mrembo Vera Sidika ameachia rasmi wimbo wake mpya kupitia mtandao wa Youtube. Inawezekana mpaka sasa watu wengi wameamini kilichosemwa na Vera Sidika juu ya kutoa shepu yake, lakini ukweli umejidhihirisha baada ya kuachia wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la “POPSTAR”. Wimbo wa Vera Sidika ameuimba […]

Read More
 Vera Sidika Afichua Kufanyiwa Upasuaji wa Kupunguza Makalio

Vera Sidika Afichua Kufanyiwa Upasuaji wa Kupunguza Makalio

Mrembo maarufu na mjasiriamali wa mitandaoni, Vera Sidika, amezua gumzo mitandaoni baada ya kufichua kuwa alifanyiwa upasuaji wa kupunguza makalio kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata kufuatia mabadiliko ya awali ya mwili wake. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye Instagram, Vera amesema alilazimika kupitia hatua hiyo baada ya kupitia kipindi kigumu sana kiafya, hali iliyomlazimu kufanya maamuzi […]

Read More
 VERA SIDIKA AWAPA SOMO MABINTI WANAOTOKA KIMAPENZI NA MASPONSA

VERA SIDIKA AWAPA SOMO MABINTI WANAOTOKA KIMAPENZI NA MASPONSA

Mwanasosholaiti maarufu nchini Kenya, Vera Sidika ameshauri kina dada kuchukua fedha za Sponsa na kuwekeza. Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, mmoja wa mashabiki wake alimuuliza ushauri wake kwa wasichana ambao wanatoka na watu wazima. “Ushauri wako kwa msichana anayechumbia wababa,” Shabiki aliuliza. “Kula pesa yake mzuri, lakini cha muhimu wekeza,”Alijibu Vera. Utakumbuka Vera alipata […]

Read More
 SOCIALITE MAARUFU MTANDAONI VERA SIDIKA KUFANYA TENA UPASUAJI WA MATITI

SOCIALITE MAARUFU MTANDAONI VERA SIDIKA KUFANYA TENA UPASUAJI WA MATITI

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya na Afrika Mashariki, Vera Sidika amesema atafanya tena upasuaji wa matiti yake ili kuboresha muonekana wake baada ya kumaliza kuzaa. Kupitia Instagram page yake Vera Sidika amesema anatamani kupata matiti yenye umbo la mviringo na ambayo yamesisima ila kwa sasa anataka kwanza aikuze familia yake. “Kunyonyesha hakujawahi kunisumbua hata kidogo, […]

Read More
 BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

Tutegemee ndoa kutoka kwenye couple ya mwanamuziki Brown mauzo na mrembo mwenye shape matata Vera Sidika mapema week ijayo. Hayo yamebainishwa kutoka kwa Instagram page ya mwanamuziki brown mauzo ambaye ameShare picha ya mrembo huyo na kuandika ujumbe unao ashiria kuwepo kwa ndoa kati yao huku akiweka wazi tarehe husika ya tukio hilo kuwa ni […]

Read More