WhatsApp Yaboresha Groups kwa Kipengele cha Kuona Chats Zilizopita

WhatsApp Yaboresha Groups kwa Kipengele cha Kuona Chats Zilizopita

Kampuni ya WhatsApp imetangaza mabadiliko mapya kwenye huduma yake ya makundi (groups), hatua inayolenga kuboresha uzoefu wa watumiaji wanapojiunga na makundi mapya. Katika maboresho mapya yaliyotangazwa, sasa mtumiaji atakapoongezwa kwenye group ataweza kuona baadhi ya ujumbe uliotumwa kabla ya kujiunga kwake. Kwa kawaida, mtumiaji anapojiunga kwenye group kwa mara ya kwanza, hakuwa na uwezo wa […]

Read More
 WhatsApp Kuanza Kuonyesha Status Juu ya Sehemu ya Chats.

WhatsApp Kuanza Kuonyesha Status Juu ya Sehemu ya Chats.

Kampuni ya WhatsApp imeanza kujaribu mabadiliko mapya yatakayobadili namna watumiaji wanavyoona Status ndani ya programu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa za majaribio hayo, watumiaji wataanza kuona Status za marafiki zao juu kabisa ya sehemu ya Chats. Hii ni tofauti na ilivyo sasa, ambapo Status hupatikana katika sehemu maalum ya Updates. Mabadiliko haya yanamaanisha kuwa kila […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Simu za Sauti na Video Kupitia Tovuti

WhatsApp Yaanza Simu za Sauti na Video Kupitia Tovuti

Kampuni ya WhatsApp imezindua rasmi huduma ya kupiga simu za sauti na video kupitia tovuti yake ya WhatsApp Web, ikiwa ni hatua mpya ya kuboresha mawasiliano kwa watumiaji wa kompyuta. Kupitia huduma hiyo mpya, watumiaji sasa wanaweza kupiga na kupokea simu moja kwa moja ndani ya kivinjari bila kulazimika kupakua au kusakinisha programu ya WhatsApp […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Kujaribu Mfumo wa Subscription ya Kulipia

WhatsApp Yaanza Kujaribu Mfumo wa Subscription ya Kulipia

WhatsApp imeanza kujaribu mpango mpya wa subscription ya kulipia, hatua inayolenga kuwapa watumiaji uwezo wa kupata huduma na vipengele vya ziada tofauti na vilivyopo kwa sasa. Kupitia mpango huu, watumiaji watakaolipia wataweza kufurahia baadhi ya features maalum zikiwemo stickers za premium, themes za kipekee, uwezo wa ku-pin chat zaidi ya tatu, ringtone maalum kwa chats, […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Majaribio ya Akaunti Maalum kwa Watoto

WhatsApp Yaanza Majaribio ya Akaunti Maalum kwa Watoto

WhatsApp imeanza majaribio ya mfumo mpya unaolenga kuongeza usalama wa watoto wanaotumia jukwaa hilo, kwa kuruhusu wazazi kufungua akaunti maalum kwa ajili ya watoto wao. Kwa mujibu wa taarifa ya WhatsApp, mfumo huo utatumia mpangilio wa “Secondary Account” ambayo itakuwa ni akaunti ya mtoto. Akaunti hiyo itatumia namba tofauti ya simu lakini itaunganishwa moja kwa […]

Read More
 WhatsApp Yaja na Maboresho Mapya ya Kusafisha Storage Kwenye iOS

WhatsApp Yaja na Maboresho Mapya ya Kusafisha Storage Kwenye iOS

WhatsApp inaendelea kuboresha uzoefu wa watumiaji wake, na safari hii inaleta mabadiliko mapya kwenye sehemu ya kusafisha Storage kwa watumiaji wa iOS. Maboresho haya yanalenga kuwasaidia watumiaji kudhibiti kwa urahisi nafasi ya hifadhi (storage) kwenye simu zao. Kwa mujibu wa mabadiliko mapya, WhatsApp itabadilisha muonekano na utendaji wa sehemu ya kusafisha Storage na kuweka njia […]

Read More
 WhatsApp Kuboresha Groups kwa Kuwapa Wanachama Wapya Chats za Hivi Karibuni

WhatsApp Kuboresha Groups kwa Kuwapa Wanachama Wapya Chats za Hivi Karibuni

WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kipengele kipya kitakachowezesha wanachama wapya wa group kuona historia ya mazungumzo ya masaa 24 yaliyopita mara tu wanapojiunga. Hatua hii inalenga kuboresha uelewa wa mazungumzo na kuondoa utata unaotokea pale mtu anapoingia kwenye group bila kufahamu kilichokuwa kinaendelea. Kipengele hiki kikizinduliwa rasmi, kitawapa urahisi wanachama wapya kufuatilia mijadala ya karibuni, […]

Read More
 WhatsApp Yazindua Kipengele Kipya cha “Save as Draft” kwa Status

WhatsApp Yazindua Kipengele Kipya cha “Save as Draft” kwa Status

Mtandao wa mawasiliano ya simu, WhatsApp, unakaribia kuongeza kipengele kipya kitakachowarahisishia watumiaji wake kuandaa na kuhifadhi Status kabla ya kuzipost. Kipengele hicho kipya, kinachoitwa “Save as Draft”, kwa sasa kinapitia hatua za majaribio (beta testing). Kupitia mabadiliko haya, watumiaji wataweza kuhifadhi Status wanayoitengeneza endapo wataondoka kwenye ukurasa wa kutengeneza bila kupost. Hii ina maana kwamba […]

Read More
 WhatsApp Kuanza Kupokea Jumbe kutoka Apps Nyingine

WhatsApp Kuanza Kupokea Jumbe kutoka Apps Nyingine

Meta imetangaza kuwa WhatsApp itaanza kuruhusu watumiaji wa barani Ulaya kutuma na kupokea jumbe kutoka apps nyingine kama BirdyChat na Haiket. Watumiaji wataweza kutuma text, picha, sauti, video na files kwa watumiaji wa apps nyingine. Hii itasaidia watu kutumiaji wa apps nyingine kuwa na uwezo wa kuchat na watumiaji wa WhatsApp bila kulazimika kuwa na […]

Read More
 WhatsApp Yaiga Instagram Notes kwa Kipengele Kipya cha Notes

WhatsApp Yaiga Instagram Notes kwa Kipengele Kipya cha Notes

WhatsApp imeanzisha mfumo mpya unaowaruhusu watumiaji kuandika ujumbe mfupi ambao unaweza kujifuta baada ya muda maalumu unaochaguliwa na mtumiaji mwenyewe. Katika mfumo huu, mtumiaji anaweza kuweka muda wa ujumbe kudumu kwa saa moja, masaa manane, siku moja au hadi wiki moja kabla ya kutoweka kiotomatiki. Kipengele hiki kinafanana kwa kiasi kikubwa na huduma ya Instagram […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Majaribio ya Kutaja Wajumbe Wote wa Kundi kwa Pamoja

WhatsApp Yaanza Majaribio ya Kutaja Wajumbe Wote wa Kundi kwa Pamoja

Kampuni ya WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kipengele kipya kinachowawezesha watumiaji kutaja wajumbe wote wa kundi kwa mara moja, badala ya kutumia alama ya @ kwa kila jina mmoja baada ya jingine. Kupitia kipengele hicho, kila mshiriki wa kundi atapokea taarifa (notification) inayoonyesha kuwa ametajwa kwenye ujumbe fulani. Hatua hii inalenga kuongeza ufanisi wa mawasiliano […]

Read More