Meta Yatangaza Kuondoa Huduma za AI Kwenye WhatsApp Kuanzia 2026
Kampuni ya Meta imetangaza kuwa kuanzia mwaka 2026, haitaruhusu tena kampuni za teknolojia ya akili bandia (AI) kama OpenAI (ChatGPT) na Perplexity kutumia jukwaa la WhatsApp kutoa huduma zao. Uamuzi huu unalenga kuimarisha matumizi ya Meta AI pekee ndani ya app hiyo maarufu ya kutuma ujumbe. Kwa sasa, huduma kama ChatGPT na Perplexity zimekuwa zikipatikana […]
Read More