WhatsApp Kuanza Kuruhusu Watumiaji Kushiriki Status za Wengine (Repost)

WhatsApp Kuanza Kuruhusu Watumiaji Kushiriki Status za Wengine (Repost)

WhatsApp imeanzisha rasmi majaribio ya kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kushiriki (repost) Status za wengine moja kwa moja kwenye Status zao binafsi, bila kulazimika kuomba au kupakua maudhui hayo. Kipengele hiki kwa sasa kinapatikana kwa watumiaji wa toleo la majaribio (beta) kwa Android na iOS, na kinatarajiwa kubadilisha namna watumiaji wanavyoshirikiana kwenye jukwaa hilo. Kwa kutumia […]

Read More
 Whatsapp imeanza kuzuia Screenshots na Screen-Record

Whatsapp imeanza kuzuia Screenshots na Screen-Record

WhatsApp imeweka mabadiliko kwa kuweka uwezo wa kuzuia mtu asiweze kupiga screenshot katika picha au video ambayo mtu ametuma kwa kutumia option ya “View Once”.  Lakini pia inazuia mtu asiweze ku-screen record! Mabadiliko haya yameanza rasmi na kwa watumiaji wote ambao wanatumia toleo jipya (updated) app. Mtu akipiga screenshot au kurekodi screen picha haionekana na […]

Read More
 WHATS APP KWENYE MAJARIBIO MAPYA, KULETA URAHISI KWA MA-ADMIN

WHATS APP KWENYE MAJARIBIO MAPYA, KULETA URAHISI KWA MA-ADMIN

App maarufu ya mtandao wa kijamii ya WhatsApp ipo kwenye kufanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya WhatsApp Communities. Inaelezwa kuwa, sehemu ya Communities itakuwa ni maalum kwa viongozi wa vikundi (Group Admins) kuona group zote ambazo wanazisimamia. Inatajwa kuwa ni sehemu ya kusimamia groups zote ambazo Admins anazisimamia na atakuwa na uwezo wa kutuma […]

Read More
 WHATSAPP MBIONI KUWEKA MFUMO WA REACTIONS KATIKA CHATS ZA WATUMIAJI WAKE

WHATSAPP MBIONI KUWEKA MFUMO WA REACTIONS KATIKA CHATS ZA WATUMIAJI WAKE

Kwa muda mrefu WhatsApp imeendelea kufanya majaribio ya kuweka mfumo wa Reactions katika chats. Reactions ni mfumo wa kuonyesha hisia au response yako katika message, unaweza kuonyesha kupendezwa, kushangaa, kucheka au kupinga jambo kwa kuchagua emoji inayoendana na mtazamo wako. Feature hii ipo katika Facebook na Instagram lakini katika platform hizo unaweza kuchagua emoji yoyote. […]

Read More
 WHATSAPP MBIONI KUJA NA UWEZO WA KUENDELEA KUSIKILIZA VOICE MESSAGES HATA UKIWA UMEFUNGA CHATS

WHATSAPP MBIONI KUJA NA UWEZO WA KUENDELEA KUSIKILIZA VOICE MESSAGES HATA UKIWA UMEFUNGA CHATS

App ya WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka mfumo mpya wa “Voice Message au Notes”. Mfumo huo mpya utawezesha watumiaji kuendelea kusikiliza Voice Message hata ukiwa umefunga chat na kufungua chat nyingine au kurudi kwenye list ya messages.   Kwa kawaida ukiwa unasikiliza Voice Message katika WhatsApp, ukiifunga chat na Voice Message inaacha kucheza, hivyo inabidi […]

Read More