WILLY PAUL ASHANGAZWA NA VIEWS ZAKE KUSHUKA YOUTUBE

WILLY PAUL ASHANGAZWA NA VIEWS ZAKE KUSHUKA YOUTUBE

Staa wa muziki nchini Willy Paul amefunguka na kuzungumzia ishu ya kupungua kwa idadi ya viewers wanaotazama video za nyimbo zake kwenye mtandao wa Youtube. Kupitia  Youtube live Willy Paul amedai kuwa kuna mchezo mchafu ambao unaendelea kwenye channel yake ya YouTube  ambapo amelalamika kuwa views za video za nyimbo zake zinapanda na kushuka. Hitmaker […]

Read More
 WILLY PAUL ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE MWAKA 2022

WILLY PAUL ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE MWAKA 2022

Mwanamuziki nyota nchini Willy Paul ametia nia ya kugombea kiti cha ubunge eneo la Mathare  kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Hitmaker huyo “My Woman” ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwwa kuandika ujumbe unaosomeka “Are you ready Mathare? Lets bring that change #Levels, ujumbe unaowataka wakaazi wa Mathare kumuunga mkono kwenye […]

Read More
 WILLY PAUL APOTEZA TAKRIBAN SHILLINGI MILLIONI 96 BAADA YA TUHUMA ZA UBAKAJI KUIBULIWA DHIDI YAKE

WILLY PAUL APOTEZA TAKRIBAN SHILLINGI MILLIONI 96 BAADA YA TUHUMA ZA UBAKAJI KUIBULIWA DHIDI YAKE

Staa wa muziki nchini Willy Paul amedai kwamba amepoteza takriban shillingi millioni 96 tangu diana marua amtuhumu kuwa alijaribu kumbaka. Kupitia waraka aliyochapisha kwenye ukurasa wake Instagram Willy Paul amesema amepoteza matangazo ya takriban shillingi millioni 10 kutoka kwa kampuni moja ya mawasilioni, shillingi milioni 4 kutoka kwa kampuni ya magodoro na dili la kurekodi […]

Read More
 WILLY PAUL AMALIZA BIFU YAKE NA ERIC OMONDI

WILLY PAUL AMALIZA BIFU YAKE NA ERIC OMONDI

Hatimaye staa wa muziki nchini Willy Paul ametangaza kumaliza bifu yake na mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi baada ya wawili hao kurushiana maneno makali kwenye mitandao ya kijamii kwa muda. Kupitia ukurasa wake wa instagram willy paul amemtaka Eric Omondi kuwa waache matukio yasioyokuwa na msingi na badala yake waupambanie muziki wa kenya uweze kusikilizwa […]

Read More
 WILLY PAUL AHIRISHA TENA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

WILLY PAUL AHIRISHA TENA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki nchini Willy Paul ametangaza hataachia album yake mpya iitwayo “The African Experience” kama ilivyokuwa imepangwa. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amesema hatua ya kuahirisha kutoka kwa album hiyo ni fursa nzuri kwake kujiandaa vilivyo na kuwapa mashabiki wake kazi nzuri. Hata hivyo, bosi huyo wa Saldido records hajasema album hiyo […]

Read More
 WILLY PAUL ATOA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

WILLY PAUL ATOA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki nchini Willy Paul amewapa mashabiki wake orodha nzima ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya  “The African Experience”. “The African Experience” ina jumla ya nyimbo 17, ikiwa na kolabo 5 pekee kutoka kwa wakali kama Juma Jux, Eddy Kenzo,Daphne,Fik Fameica na wengine. Hitmaker huyo wa “Lenga” anatarajiwa kuiachia album hiyo wakati wowote […]

Read More
 HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

Mkali wa muziki nchini Happy Chondo maarufu kama Happy C kutoka lebo ya 001 Music amemtolea uvivu staa wa muziki nchini Willy Paul kwa madai ya kukosa ubunifu kwenye uandishi wa nyimbo zake. Happy C ametoa kauli hiyo kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Willy Paul kuachia wimbo wake mpya uitwao […]

Read More
 WILLY PAUL: SIHITAJI SUPPORT YA WASANII WA KENYA KWENYE THE AFRICAN EXPERIENCE ALBUM

WILLY PAUL: SIHITAJI SUPPORT YA WASANII WA KENYA KWENYE THE AFRICAN EXPERIENCE ALBUM

Hitmaker wa Lenga msanii Willy paul ametoa ya moyoni baaada ya baadhi ya wasanii nchini kuzuzia kumpa support kwenye album yake ijayo  iitwayo The African Experience. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amewatolea uvivu wasanii ambao amewataja kama wanafiki kwa kusema kwamba ahitaji watu wa sampuli hiyo kumuunga mkono wakati huu anajianda kuiachia album […]

Read More