WILLY PAUL AFUNGUKA SABABU ZA KUJA NA MUONEKANO MPYA
Mionekano kwa wasanii si jambo la kuchukulia poa, bali ni kazi. Ni moja ya njia za branding na kujiweka machoni mwa mashabiki muda wote. Msanii nyota nchini Willy Paul amefunguka sababu za kunyoa nywele zake aina ya dreadlocks wiki iliyopita. Katika mahojiano yake hivi karibuni Willy Paul amesema kuwa ameamua kuja na muonekano mpya kwa sababu ameacha kabisa […]
Read More