Willy Paul Afunguka Majuto ya Kuachana na Muziki wa Injili.

Willy Paul Afunguka Majuto ya Kuachana na Muziki wa Injili.

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, amewashangaza mashabiki wake baada ya kuandika ujumbe mzito wa majuto, akikiri kupoteza mwelekeo tangu alipoachana na muziki wa injili. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, msanii huyo ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa akitamba upande wa muziki wa kidunia (secular), amefunguka kuwa moyo wake hauna amani na […]

Read More
 Willy Paul Aweka Rekodi Mpya Boomplay Kama Msanii wa Kiume Anayesikilizwa Zaidi

Willy Paul Aweka Rekodi Mpya Boomplay Kama Msanii wa Kiume Anayesikilizwa Zaidi

Msanii nyota wa muziki kutoka Kenya, Willy Paul, ameweka rekodi mpya kwenye jukwaa la muziki la Boomplay baada ya kutajwa kuwa msanii wa kiume anayesikilizwa zaidi kwenye mtandao huo. Willy Paul amefikisha jumla ya wasikilizaji milioni 107 huku wimbo wake “Keki” aliomshirikisha Bahati ukitajwa kuwa wimbo uliosikilizwa zaidi mwaka 2025. Kupitia mitandao ya kijamii, msanii […]

Read More
 Willy Paul: Siwezi Kuwa Kwenye Mahusiano na Mwanamke Mlevi

Willy Paul: Siwezi Kuwa Kwenye Mahusiano na Mwanamke Mlevi

Staa wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mahusiano ya kimapenzi, akisema hawezi kamwe kuwa na uhusiano na mwanamke mlevi. Kupitia ujumbe aliouweka mtandaoni, , Willy Paul amesema kuwa anapendelea kubaki single kuliko kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayependa pombe kupita kiasi. Mkali huyo wa ngoma ya Ngunga, amesema wanawake wa aina […]

Read More
 Willy Paul Alalamikia Mashabiki Kutompa Heshima Anazostahili

Willy Paul Alalamikia Mashabiki Kutompa Heshima Anazostahili

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul, ameelezea masikitiko yake kuhusu jinsi mashabiki wa muziki wa Kenya wanavyomchukulia poa, akidai kuwa licha ya mafanikio yake makubwa kimataifa, bado hatambuliwi ipasavyo nyumbani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee wa Kenya ambaye nyimbo zake zinachezwa zaidi kimataifa kuliko za […]

Read More
 Willy Paul Asema Ameoa Rasmi, Apuuza Video ya Zamani

Willy Paul Asema Ameoa Rasmi, Apuuza Video ya Zamani

Msanii wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, amejitokeza kufafanua kuhusu video ya zamani iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha akisema kwamba hatawahi kuoa. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Willy Paul amefafanua kuwa video hiyo ni ya kitambo, kabla hajaoa, na kwamba kwa sasa yuko kwenye ndoa halali na mke wake anayemuita my Ngunga. Ameonyesha kuchukizwa na jinsi mashabiki […]

Read More
 Willy Paul Asema Hataki Ndoa Maishani Mwake

Willy Paul Asema Hataki Ndoa Maishani Mwake

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Willy Paul, amewashangaza mashabiki wake baada ya kufichua kwamba hana mpango wa kuoa, licha ya kuwa na moja ya nyimbo kubwa zaidi katika taaluma yake inayotumika sana kwenye harusi. Kupitia mahojiano aliyofanya hivi karibuni, Willy Paul amesema kuwa kiwango cha usaliti katika mahusiano ya siku hizi kimemfanya apoteze imani katika […]

Read More