Mashabiki Wataka Zuchu Atumbuize Kombe la Dunia 2026

Mashabiki Wataka Zuchu Atumbuize Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wa muziki Afrika Mashariki wameonyesha shauku kubwa ya kutaka msanii wa WCB Zuchu kutumbuiza kwenye ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026, baada ya kuandika historia usiku wa kuamkia leo katika Siku ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika onyesho hilo lililohudhuriwa na zaidi ya mashabiki elfu 60, Zuchu alidhihirisha ubunifu […]

Read More
 Zuchu Akanusha Madai ya Kupuuzwa Kasarani Wakati wa Fainali za CHAN

Zuchu Akanusha Madai ya Kupuuzwa Kasarani Wakati wa Fainali za CHAN

Msanii kutoka Tanzania, Zuchu, amejitokeza na kukanusha vikali madai kwamba alipuuziwa na mashabiki wakati wa onyesho lake katika Uwanja wa Kasarani, wakati wa fainali za mashindano ya CHAN kati ya Morocco na Madagascar. Ripoti zilizosambaa mitandaoni zilisema kuwa baadhi ya mashabiki waliokuwepo uwanjani walionekana kuimba wimbo wa taifa la Kenya wakati Zuchu alipokuwa akiendelea na […]

Read More
 Zuchu: Ashurey Ndiye Dansa Namba Moja Afrika Mashariki

Zuchu: Ashurey Ndiye Dansa Namba Moja Afrika Mashariki

Staa wa Bongo Fleva, Zuchu, amempa nyota tano dansa wake maarufu Ashurey akimtaja kuwa ndiye Dansa bora namba moja Afrika Mashariki kwa sasa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu alipakia video ya Ashurey akifanya challenge ya wimbo wake mpya “Inama”, kisha akaandika ujumbe wa kumpa heshima kubwa kwa umahiri wake wa kucheza. Wakati mashabiki wake […]

Read More
 Zuchu Akutana na Dada Anayemwigiza Kenya

Zuchu Akutana na Dada Anayemwigiza Kenya

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ameonyesha furaha na upendo wake baada ya kukutana ana kwa ana na pacha wake kutoka Kenya anayemwigiza. Binti huyo, ambaye mashabiki wanamuita “Zuchu wa Mchongo”, amejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na kumwigiza Zuchu katika mitindo ya uchezaji na mavazi, sambamba na kufanya challenges za nyimbo zake. Kutokana na kufanana kwao kimuonekano, […]

Read More
 Zuchu Afunguka Kuhusu Madai ya Kubeza Wasanii wa Kenya Kablaya Fainali za CHAN

Zuchu Afunguka Kuhusu Madai ya Kubeza Wasanii wa Kenya Kablaya Fainali za CHAN

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Zuchu, amekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai kwamba hatoshirikiana na wasanii wa Kenya kwa sababu ya madai ya Wakenya kumtusi Rais Samia Suluhu Hassan. Katika mahojiano yake na kituo cha redio cha Kiss 100, Zuchu ameeleza kuwa hajawahi kutoa kauli hiyo na kusisitiza kuwa habari hizo hazina ukweli wowote. Amesema […]

Read More
 Zuchu Apewa Heshima Kutumbuiza Kwenye Fainali za CHAN 2025 Kenya

Zuchu Apewa Heshima Kutumbuiza Kwenye Fainali za CHAN 2025 Kenya

Msanii maarufu wa Tanzania, Zuchu, ameteuliwa kuwa msanii kinara atakayetumbuiza kwenye sherehe za kufunga mashindano ya CHAN 2025 yatakayofanyika wikiendi hii katika Uwanja wa Moi International Sports Centre, Kasarani jijini Nairobi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu alieleza furaha yake akitangaza kuwa atakuwa msanii mkuu wa burudani kwenye fainali hizo, hatua ambayo imepokelewa kwa shangwe […]

Read More
 Zuchu Awagusa Mashabiki kwa Ujumbe wa Kuandika Nyimbo Bila Msaada

Zuchu Awagusa Mashabiki kwa Ujumbe wa Kuandika Nyimbo Bila Msaada

Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania, Zuchu, amefunguka kuhusu namna ambavyo kuandika nyimbo kumekuwa sehemu muhimu ya maisha yake, akifananisha mchakato huo na tiba ya kihisia licha ya kuwa kazi ngumu isiyo na msaada mkubwa. Kupitia Instastory yake, Zuchu aliandika ujumbe ulioambatana na video yake akiwa ndani ya studio, akionyesha jinsi anavyojitoa kwa moyo wote katika uandishi […]

Read More
 Diamond Platnumz na Zuchu Wafunga Ndoa ya Kiislamu kwa Faragha

Diamond Platnumz na Zuchu Wafunga Ndoa ya Kiislamu kwa Faragha

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, hatimaye amethibitisha kumuoa mpenzi wake wa muda mrefu, Zuchu, katika sherehe ya ndoa iliyofanyika kwa faragha mwishoni mwa wiki. Taarifa za ndoa hiyo zilithibitishwa kupitia picha na video zilizoshirikiwa kwenye mitandao ya kijamii, ambapo Diamond na Zuchu walionekana wakiwa kwenye vazi la Kiislamu, pamoja na familia […]

Read More
 Zuchu hana mpenzi wala mchumba -Khadija Kopa

Zuchu hana mpenzi wala mchumba -Khadija Kopa

Mama mzazi wa msanii Zuchu kutoka WCB Wasafi, Khadija Kopa amerejelea na kusisitiza kuwa mwanawe bado yuko singo na hana mwanaume yeyote awe mchumba au mpenzi. Kopa amesema kutokana na umaarufu wa Zuchu, siku akipata mchumba dunia nzima itajua na itakuwa ni habari ya mijini na vijijini, ila kwa watu wawe na subira na kutopotoshwa […]

Read More
 Zari anyosha maelezo ishu ya kushindana na Zuchu kumteka kimapenzi Diamond Platnumz. 

Zari anyosha maelezo ishu ya kushindana na Zuchu kumteka kimapenzi Diamond Platnumz. 

Mrembo maarufu wa Uganda, Zari The Bosslady ameonyesha kuchukizwa na habari za uongo kuhusu kile kinachodaiwa yupo katika mashindano na Zuchu ili kuunasa moyo wa Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zari amesema “Halafu wajinga wote hapa wanaamini maoni hayo yaliyoambatanishwa na picha yangu? Nimekuwa nikiwaonya kuwa siku moja nitawashtaki kiwango cha nyinyi kuuza […]

Read More
 Matamasha ya Zuchu Jijini Nairobi na Eldoret yaahirishwa

Matamasha ya Zuchu Jijini Nairobi na Eldoret yaahirishwa

Mwanamuziki kutoka Tanzania Zuchu amefutilia mbali matamasha yake ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika jijini Nairobi na Eldoret mwezi huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni ya Trueblaq Limited na Jabali entertainment, matamasha hayo yamepangwa kufanyika mwaka ujao wikendi ya Pasaka. “Kutokana na mazingira yaliyo nje ya uwezo wetu, tunasikitika kukujulisha kwamba […]

Read More