ZUCHU AFIKISHA SUBSCRIBERS MILLIONI 2 YOUTUBE
Hitmaker wa ngoma ya “Mwambie”, Msanii Zuchu amefanikiwa kufikisha jumla ya subscribers Milioni 2 kwenye channel yake ya youtube. Zuchu anakuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki mwenye Subscribers Milioni 2 na wanne Afrika akiwa ametanguliwa na Sherine (Misri) , Zina Daoudia (Morocco) na Yemi Alade (Nigeria). Katika hatua nyingine Zuchu pia Kupitia channel […]
Read More