Zuchu ashindwa kujizuia jukwaani baada ya show yake Houston Marekani kukosa watu

Zuchu ashindwa kujizuia jukwaani baada ya show yake Houston Marekani kukosa watu

Staa wa muziki wa Bongofleva Zuchu amewashukuru mashabiki zake wote waliojitokeza kwenye show yake huko Houston, Texas nchini Marekani licha ya idadi ndogo ya mashabiki kuhudhuria show hiyo. Kupitia insta-story kwenye mtandao wa Instagram amesema kwamba kilichotokea kimempa hasira ya kufanya zaidi na anakubali kushindwa kama sehemu ya mafanikio yake. “Nimejiuliza sana kwanini nilichagua kazi […]

Read More
 Zuchu afikisha jumla ya streams Millioni 130 BoomPlay

Zuchu afikisha jumla ya streams Millioni 130 BoomPlay

Mwimbaji nyota wa kike kutoka WCB, Zuchu anazidi kufanya vizuri kupitia digital platforms pamoja na kuongeza rekodi katika upande wa wasanii wa kike Afrika. Kwa sasa Zuchu ni miongoni mwa wanamuziki wakike wenye idadi kubwa ya STREAMS katika mtandao wa Boomplay, hii ni baada ya kufikisha jumla ya streams Millioni 130 katika mtandao huo, hivyo anakuwa msanii […]

Read More
 Zuchu atangaza kufanya ziara ya muziki nchini Marekani

Zuchu atangaza kufanya ziara ya muziki nchini Marekani

Msanii wa Bongofleva, Zuchu anatarajia kufanya ziara yake kimuziki (tour) nchini Marekani kuanzia Novemba 18 hadi Desemba 3 mwaka huu. Ziara hiyo ya Zuchu ni pamoja na kutumbuiza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) zitakazotolewa Novemba 19 huko Dallas, Texas nchini Marekani ambapo Zuchu anawania kipengele cha Msanii Bora […]

Read More
 Zuchu kulipa millioni 9.6 kwa tuhuma za kuiba mashairi wimbo

Zuchu kulipa millioni 9.6 kwa tuhuma za kuiba mashairi wimbo

Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Zuchu huenda akakamuliwa millioni 9.6 kwa kudaiwa kuiba wimbo wa msanii wa Injili, Enock Jonas huku lebo yake ikionesha kutokuwa tayari kuzilipa fedha hizo. Katika malalamiko hayo Jonas, amedai Zuchu amechukua sehemu ya kibwagizo na staili ya kucheza katika wimbo wake wa ‘Wema wa Mungu’ ambao ulitoka mwaka 2012 […]

Read More
 Zuchu kutumbuiza kwenye tuzo za AFRIMMA 2022

Zuchu kutumbuiza kwenye tuzo za AFRIMMA 2022

Mwimbani wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Zuchu amechaguliwa kutumbuiza kwenye tuzo za AFRIMMA zitakazotolewa Novemba 19 huko Dallas, Texas nchini Marekani. Kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram, AFRIMMA walipakia video ya kudensi ya Zuchu akicheza wimbo wake mpya wa Kwikwi na kusema kwamba ni rasmi msanii huyo atakuwa miongoni mwa watumbuizaji watakaopamba sherehe hizo. Wameandika; […]

Read More
 Diamond Platnumz asema hawezi kumuoa Zuchu

Diamond Platnumz asema hawezi kumuoa Zuchu

Msanii nyota wa Bongofleva Diamond Platnumz ameamua kutoa ya moyoni baada ya meneja wake Babu Tale kumshinikiza amuoe Zuchu kutokana na video aliyoichapisha kwenye ukurasa wake Instagram akibusiana na hitmaker huyo wa “Sukari”. Kulingana na comment yake akimjibu Babu Tale, hawezi kumuoa msanii wake Zuchu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini. “Sasa nitamuoaje wakati […]

Read More
 Zuchu atinga MTV EMA 2022, Atajwa kuwania kipengele cha “Best African Act”

Zuchu atinga MTV EMA 2022, Atajwa kuwania kipengele cha “Best African Act”

Mwimbaji hodari wa Kike Tanzania Zuchu ametajwa kuwania tuzo za Kimataifa za MTVEMA kwa mwaka huu katika kipengele cha Msanii bora wa Afrika. Katika kipengele hicho, Zuchu ambaye ndiye msanii pekee toka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa kuwania Tuzo hizo, atachuana na wasanii wengine wakubwa Afrika akiwemo Burna Boy, Tems, Ayra Starr, BlackSherif wa Ghana na Musa Keys. Tayari […]

Read More
 Zuchu mbioni kuja na bidhaa za nguo

Zuchu mbioni kuja na bidhaa za nguo

Mwanamuziki wa Bongofleva, Zuchu ametangaza kuja na bidhaa zake za mavazI Kupitia ukurasa wa Twitter mkali huyo wa ngoma ya “Sukari” anasema kuwa kuna mitindo mipya ameianzisha yeye kama viatu vya midoli,kusuka rasta ndefu pamoja na kuvaa nguo kubwa vyote siku hizi watu wanafanya kwa sababu yake. “Vile Naskia raha nikiona watu wanavaa teddy bear, […]

Read More
 ZUCHU ATAKA KUSHINDANISHWA NA WASANII WA KIUME

ZUCHU ATAKA KUSHINDANISHWA NA WASANII WA KIUME

Hitmaker wa “Sukari”, Msanii Zuchu amedai kwa uandishi wake kwenye muziki anafaa kuwekwa kwenye ligi ya wasanii wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa twitter Zuchu amesema kupambanishwa na wanawake ni kuwaonea. “Kwa uandiashi wangu yafaa kuwekwa kwenye ligi za wanaume, wadada wenzangu nitawaonea tu,” amesema Zuchu. Kauli ya Zuchu inakuja kipindi anatarajia kuachia nyimbo mbili […]

Read More
 ZUCHU KULIPA MILLIONI 500 ZA KENYA KUONDOKA WCB

ZUCHU KULIPA MILLIONI 500 ZA KENYA KUONDOKA WCB

C.E.O wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa Zuchu kuondoka katika Lebo hiyo atalipa takriban shilingi milllioni 500 za Kenya. Kauli ya Diamond inakuja muda mfupi baada ya Babu Tale kutangaza Lebo hiyo itasaini wasanii wapya hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babu Tale ameandika “Hivi karibuni tutasaini wasanii wawili kujiunga lebo ya […]

Read More
 ZUCHU AWEKA HISTORIA BOOM PLAY KUPITIA  “I’AM ZUCH EP”

ZUCHU AWEKA HISTORIA BOOM PLAY KUPITIA “I’AM ZUCH EP”

Extended Playlist ya I’AM ZUCHU kutoka kwa mwanamuziki wa Bongofleva Zuchu imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams Million 100′ katika digital platforms zote za kuuza na kusikiliza kazi za muziki. EP hiyo ambayo ndio ya kwanza kwa Zuchu katika safari yake ya muziki, ilitoka Aprili, mwaka 2020 ikiwa na jumla ya nyimbo saba ambazo aliwapa mashavu […]

Read More