Esther Musila Awajibu Wanaomshauri Aache Kujibizana na Watu Mtandaoni
Mwanamitindo na mpenzi wa muziki wa injili Esther Musila ametoa majibu kwa wakosoaji wanaomshauri aache kujibizana na watu wanaomkejeli kwenye mitandao ya kijamii. Musila, ambaye ni mke wa msanii wa injili Guardian Angel, amekuwa akilengwa mara kwa mara na maneno ya kashfa mtandaoni, hasa kuhusu umri wake na uhusiano wake na mwanamuziki huyo. Baadhi ya […]
Read More