Baba Levo Akerwa na Tukio la Mfanyakazi wa Ndani Kumfanyia Ukatili Mtoto Wake
Msanii wa Bongo Fleva Baba Levo ameonyesha maumivu makubwa na kukerwa sana baada ya kanda ya CCTV kufichua tukio la ukatili lililofanywa na mfanyakazi wa ndani dhidi ya mtoto wake, Platnum, wakati yeye na mke wake hawakuwepo nyumbani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Baba Levo ameeleza jinsi tukio hilo lilivyomuathiri yeye na mke wake Mama […]
Read More