Iyanii Alalamika Baada ya Kupuuzwa na Waandaaji wa Matamasha
Msanii nyota wa muziki wa Kenya, Iyanii, ameonyesha hisia zake baada ya kupuuzwa na waandaaji wa matamasha licha ya kuwa na nyimbo nyingi zilizovuma. Kupitia ujumbe wake, Iyanii amesema kuwa ni haki yake kama msanii kupata nafasi sawia na wengine, akieleza kuwa ni jambo lisilo la haki kuachwa nje ya matukio makubwa ya burudani. Hata […]
Read More