RIHANNA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU UJA UZITO WAKE
Staa wa muziki kutoka marekani Rihanna amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ujauzito wake kwenye event yake ya Fenty Beauty Universe iliyofanyika Los Angeles Februari 11 mwaka huu. Akizungumza na Jarida la PEOPLE, Rihanna amefunguka kuhusu changamoto za kuwa mwanamitindo wakati akiwa mjamzito kwa kusema kuwa anafurahia kila hatua ya uja uzito wake na ndio […]
Read More