KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

KANYE WEST AMTAKA BILLIE EILISH KUMUOMBA MSAMAHA TRAVIS SCOTT KWA KUMVUNJIA HESHIMA

Rapa Kanye West ameonesha mahaba kwa rafiki yake wa karibu kabisa Travis Scott, kwani ametishia ujiondoa kwenye tamasha la Coachella mpaka pale mwanamuziki mwenzake Billie Eilish atakapomuomba msamaha travis scott kwa kum-diss kwenye moja ya tamasha lake alilofanya wikendi iliyopita. Billie Eilish alim-diss Travis Scott kwenye tamasha lake akidai kuwa yeye huwa anasitisha show kama […]

Read More
 MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AREJELEA HARAKATI ZA KUUPIGANIA MUZIKI WA KENYA

MCHEKESHAJI ERIC OMONDI AREJELEA HARAKATI ZA KUUPIGANIA MUZIKI WA KENYA

Kama kuna kitu ambacho Mchekeshaji Eric Omondi anajivunia kuwa nacho ni kujiamini, baada ya jaribio lake la kwanza la kuikingia kifua muziki wa kenya kutibuka mwaka jana na hata kupelekea kukamatwa kwake, mchekeshaji huyo amerudi tena bungeni kushinikiza mswada kutaka muziki wa Kenya upewe hadhi ujadiliwe. Akizungumza nje ya majengo ya bunge  Omondi amesema hatelekeza msimamo […]

Read More
 BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

Rapa kutoka nchini Kenya Breeder LW ametunukiwa tuzo ya silver play  button na mtandao wa youtube baada ya rapa huyo kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye mtandao huo. Breeder LW ametumia ukurasa wake wa instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa kumpa support kwenye muziki wake ambao unazidi kuonyesha mafanikio makubwa huku akiahidi kuendelea kuwapa muziki […]

Read More
 RAYVANNY AWABARIKI MASHABIKI NA FLOWERS II EP

RAYVANNY AWABARIKI MASHABIKI NA FLOWERS II EP

Mshindi pekee wa tuzo ya BET Tanzania na Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music Rayvanny ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Flowers 2. Rayvanny ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo tisa huku akiwa amewashirikisha wasanii mbalimbali kama marioo, nadia mukami, zuchu, ray c, guchi na Roki. EP hiyo ni muendelezo wa […]

Read More
 YKEE BENDA AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA WASANII WA NIGERIA

YKEE BENDA AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA WASANII WA NIGERIA

Mwanamuziki kutoka nchini uganda Ykee Benda amefunguka changamoto za kufanya kazi na wasanii wanigeria. Katika mahojiano na Galaxy FM Ykee benda amehapa kutofanya kazi tena na wasanii wa nigeria na ikitokea amefanya nao ngoma ya pamoja itakuwa ni wao wamemtafuta Hitmaker huyo wa “Banange” amedai baadhi ya wasanii wa Nigeria hawana moyo wa kuwasaidia wasanii […]

Read More
 KING SAHA ATANGAZA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, AWASHAURI VIJANA KUJITENGA NA DAWA HIZO

KING SAHA ATANGAZA KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, AWASHAURI VIJANA KUJITENGA NA DAWA HIZO

Inaonekana mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha ameanza kuwa mtu mwema hii ni baada ya kukiri hadharani kuwa ameachana kabisa na matumizi ya mihadarati. Katika  mahojiano yake hivi karibuni King Saha amethibitisha kuacha kutumia madawa ya kulevya na badala yake amehamua kuelekeza nguvu zake zote kwenye suala la kuiweka mwili wake sawa na pia kuboresha […]

Read More
 VDJ JONES AITAKA UDA KUMLIPA EXRAY KWA KUTUMIA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KWENYE KAMPEINI ZA KISIASA

VDJ JONES AITAKA UDA KUMLIPA EXRAY KWA KUTUMIA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KWENYE KAMPEINI ZA KISIASA

Dj maarufu nchini Vdj Jones ametoa wito kwa chama cha uda kinachoongozwa na Naibu Rais Dakta. William Ruto kumlipa msanii Exray kwa kutumia wimbo wake wa “Sipangwingwi” kwenye kampeni zao za kisiasa. Kwenye mahojiano na Plug tv, Vdj Jones ambaye pia mwanamuziki amesema ameumizwa sana na kitendo cha wanasiasa kutumia wimbo wa sipangwingwi kujitakia makuu […]

Read More
 OTILE BROWN KUACHIA UPTOWN FLEX EP ALHAMISI HII

OTILE BROWN KUACHIA UPTOWN FLEX EP ALHAMISI HII

Msanii nyota nchini Otile Brown ametangaza kuachia EP mpya chini ya  lebo yake ya muziki ya Just in Love ambayo ni zawadi kwa mashabiki zake kuelekea siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day. EP hiyo inakwenda kwa jina la Uptown Flex itakuwa na jumla ya nyimbo 5 ambazo amezifanya mwenyewe bila kumshirikisha msanii yeyote. Kupitia […]

Read More