HARMONIZE AONDOA MAJINA YA WASANII JUX NA DARASSA KWENYE BANGO LA TAMASHA LAKE  “AFRO EAST CARNIVAL”

HARMONIZE AONDOA MAJINA YA WASANII JUX NA DARASSA KWENYE BANGO LA TAMASHA LAKE “AFRO EAST CARNIVAL”

Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ameyaondoa majina ya wasanii Jux na Darassa kwenye bango lenye orodha ya wasanii ambao wametajwa kutumbuiza kwenye tamasha la Afro East Carnival. Kwenye bango jipya ambalo Hitmaker huyo wa “Outside” ameliweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, majina ya wakali hao yameondolewa kufuatia malalamiko yao kwamba hawakuwa na taarifa yoyote […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AKIRI BIFU LAKE NA WASANII GOODLYFE CREW LILIMSAIDI KUKUA KIMUZIKI

JOSE CHAMELEONE AKIRI BIFU LAKE NA WASANII GOODLYFE CREW LILIMSAIDI KUKUA KIMUZIKI

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Jose Chameleone amekiri kuwa bifu yake na wasanii wa Goodlyfe Crew Mozey Radio na  Weasel Manizo lilimsaidia kukua kimuziki. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chameleone amesema kuwa bifu zinasaidia kukuza muziki kwani kipindi cha nyuma alipokuwa anajibu diss tracks za wasanii hao kwa kuachia ngoma alizungumziwa sana kwenye […]

Read More
 NINCE HENRY AMCHANA GRAVITTY OMUTUJJU KISA KUJIGAMBA KUWA AMEINGIZA PESA NYINGI KUMLIKO MSANII YEYOTE UGANDA

NINCE HENRY AMCHANA GRAVITTY OMUTUJJU KISA KUJIGAMBA KUWA AMEINGIZA PESA NYINGI KUMLIKO MSANII YEYOTE UGANDA

Msanii na mwandishi wa nyimbo kutoka nchini Uganda Nince Henry amemtolea uvivu rapa Gravitty Omutujju mara baada ya rapa huyo kujinasibu kuwa yeye ni moja kati ya wasanii waliopata shows nyingi baada ya uchumi wa nchi ya uganda kufunguliwa. Katika mahojiano yake na Galaxy FM Nince Henry amesema ameshangazwa na kitendo cha omuttujju kujigamba mitandaoni […]

Read More
 DADDY OWEN ATOA WITO KWA WAHISANI KUWASAIDIA WATOTO WENYE UGONJWA WA CLUB FOOT.

DADDY OWEN ATOA WITO KWA WAHISANI KUWASAIDIA WATOTO WENYE UGONJWA WA CLUB FOOT.

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Daddy Owen ametoa wito kwa wahisani kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa  mguu kifundo kwa maana ya Club Foot. Kupitia Instagram Page Daddy Owen amesema watoto wengi ambao wameathiriwa na ugonjwa wa Club Foot katika jamii wameshindwa kuafikia ndoto zao kutokana na unyanyapa. Hitmaker huyo ngoma ya “Vanity” […]

Read More
 ERIC MONDI AFUNGUKA SABABU ZA KUMTEMA MSANII MISS P

ERIC MONDI AFUNGUKA SABABU ZA KUMTEMA MSANII MISS P

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amefunguka sababu za kusitisha kufanya kazi na msanii Miss P baada ya kuchukua jukumu la kumsimamia. Katika mahojiano na mungai Eve,  Omondi amesema changamoto kubwa ambayo kampuni yake ilikutana nayo kutoka kwa Miss P, ni msanii huyo kutoonyesha nia ya kutaka kuzisukuma  kazi zake za muziki  mwenyewe. Mchekeshaji huyo amedai […]

Read More
 DULLY SYKES: STAREHE ILIWAPONZA WASANII WA ZAMANI WA BONGOFLEVA

DULLY SYKES: STAREHE ILIWAPONZA WASANII WA ZAMANI WA BONGOFLEVA

Mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes anasema kuwa, sababu za wasanii wengi wa zamani kufulia au kutofanikiwa kulitokana na kuendekeza starehe. Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Dully anasema kuwa, zamani wasanii walikuwa wanapata pesa japokuwa hazikuwa nyingi kama wanazopata wasanii wa sasa, lakini walikuwa wanashindwa kufanya vitu vya maana zaidi ya starehe. “Tulikuwa tunapata pesa […]

Read More
 DIAMOND PLATINUMZ AWEKA REKODI YA KUTUMBUIZA KWENYE SHOW MAALUM ILIYOANDALIWA NA GRAMMY

DIAMOND PLATINUMZ AWEKA REKODI YA KUTUMBUIZA KWENYE SHOW MAALUM ILIYOANDALIWA NA GRAMMY

Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye show maalum iliyoandaliwa na waandaaji wa tuzo za Grammy Recording Academy inayokwenda kwa jina la Global Spin Show hiyo ambayo iliruka kwa njia ya mtandao kupitia akaunti za YouTube, Twitter, Facebook za recording academy ilianzishwa mwaka 2021 mwishoni […]

Read More
 YKEE BENDA ATAKA SERIKALI YA UGANDA KUTENGA SIKU YA KITAIFA KUMKUMBUKA MAREHEMU MOZEY RADIO

YKEE BENDA ATAKA SERIKALI YA UGANDA KUTENGA SIKU YA KITAIFA KUMKUMBUKA MAREHEMU MOZEY RADIO

Bosi wa lebo ya muziki ya Mpaka Records msanii Ykee Benda ameitaka serikali ya Uganda kuiweka Februari mosi ya kila mwaka kuwa Sikikuu ya Kitaifa kumkumbuka Marehemu Mozey Radio ambaye alifariki tarehe hiyo mwaka wa 2018. Akizungumza huko Kagga nchini Uganda ambako Mozey Radio alipumzishwa mwaka wa 2018, Ykee Benda amesema mwendazake mozey Radio alikuwa […]

Read More
 MAGIX ENGA AELEZA JINSI UKOSEFU WA SUPPORT UMEATHIRI PAKUBWA TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

MAGIX ENGA AELEZA JINSI UKOSEFU WA SUPPORT UMEATHIRI PAKUBWA TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

Prodyuza na mwanamuziki Magix Enga ameibuka na kudai tasnia ya muziki nchini Kenya ni mbovu ikilinganishwa na mataifa mengine. Kupitia instagram page yake Enga amesema kiwanda cha muziki nchini kinaangazia sana taarifa mbaya za wasanii badala ya kuwapa support wasaniii kwenye muziki wao ili waweze kuingiza kipato ambacho kitawainua kiuchumi. Hitmaker huyo “Kale” amesema  wasanii […]

Read More