AKOTHEE KUANZA ZIARA YAKE YA KIMUZIKI JULAI MWAKA 2022
Staa wa muziki nchini Akothee ametangaza kuanza kwa ziara yake ya kimuziki mwezi Julai mwaka wa 2022 Barani Ulaya na Marekani Akothee ameipa ziara hiyo jina la Akothee World Tour ambayo itaanza Julai 2, mwaka wa 2022 huko Munich nchini Ujerumani. Ziara hiyo inatarajiwa kupita kwenye miji mbalimbali ikiwemo Stuttgart, Ujerumani tarehe 30 Julai, na Jonkoping, Sweden Julai […]
Read More