KALIFAH AGANAGA AMSHAURI PRODYUZA WA MUZIKI DADDY ANDRE AACHE KUIMBA

KALIFAH AGANAGA AMSHAURI PRODYUZA WA MUZIKI DADDY ANDRE AACHE KUIMBA

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Uganda Khalifah Aganaga amemtaka Daddy Andre kuamua iwapo anataka kuwa mtayarishaji wa muziki au mwimbaji. Kulingana na Aganaga, ni vigumu msanii kufanikiwa kwenye nyanja mbili za utayarishaji wa muziki na uimbaji kwa wakati mmoja. Hitmaker huyo wa “Kiboko”  amesema ikiwa daddy andre ataendelea kuimba atapoteza biashara kama prodyuza […]

Read More
 RAPPER KUTOKA MAREKANI TRAVIS SCOTT AFUNGULIWA MASHTAKA MAPYA

RAPPER KUTOKA MAREKANI TRAVIS SCOTT AFUNGULIWA MASHTAKA MAPYA

Rapa kutoka nchini Marekani Travis Scott pamoja na kampuni ya Live Nation wako matatani baada ya kesi takribani 400 kufunguliwa dhidi yao. Kesi hizo zote zimeunganishwa kuwa kesi moja kubwa itakayowakilisha wahanga takribani 2,800 walioathirika na tukio la Novemba 5, mwaka wa 2021 ambapo ajali ilitokea kwenye tamasha la Astroworld. Watu 10 walifariki na mamia […]

Read More
 RAPPER JULIANI NA LILIAN NG’ANG’A WAFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA

RAPPER JULIANI NA LILIAN NG’ANG’A WAFUNGA NDOA YA KIMYA KIMYA

Rapper Juliani ameripotiwa kufunga ndoa ya kimya kimya na mchumba wake Lilian Ng’ang’a  baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda. Kulingana na wajuzi mambo kwenye mitandao ya kijamii,Harusi hiyo ambayo inadaiwa kuwa ya siri imiefanyika jijini Nairobi na kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wanafamilia pamoja na marafiki. Mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamiii wameonekana kufurahia […]

Read More

MSHAMBULIAJI RAIA WA GABON PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG ATUA BARCELONA

Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa Mshambuliaji raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu akitokea Arsenal kama mchezaji huru. Kabla yakuondoka Gunners Aubameyang hakuwa akipata nafasi ya kucheza mbele ya kikosi cha Arteta kufuatia kutajwa kua mtovu wa nidhamu Aubameyang amewaaga rasmi mashabiki na wapenzi wa klabu ya Arsenal, kufuatia […]

Read More
 MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI RINGTONE APOKO AWAPA SOMO WASANII WA KENYA

MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI RINGTONE APOKO AWAPA SOMO WASANII WA KENYA

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Ringtone ametoa changomoto kwa wasanii wenzake kutotegemea waandaji wa matamasha kwa ajili ya kupata shoo za kuingizia kipato. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni ringtone amewataka wasanii nchini kutumia umaarufu wao kwa kuja na shoo zao wenyewe watakazofanya maeneo mbali mbali nchini kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Hitmaker huyo […]

Read More
 DIANA BAHATI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YA MUZIKI YA DIANA B ENTERTAINMENT

DIANA BAHATI AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI LEBO YA MUZIKI YA DIANA B ENTERTAINMENT

Mwanamitandao aliyegeukia muziki nchini Diana Bahati amemtambulisha msanii wake mpya wake mpya anayekwenda kwa jina la Vinny fleva. Kupitia ukurasa wake wa instagram Diana B amesema vinny flava atakuwa chini ya lebo yake ya muziki ya Diana B Entertainment ambayo itasimamia kazi zake zote za muziki huku akiwataka mashabiki zake wamkaribishe msanii huyo  ambayo kwa […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHA MUZIKI

JOSE CHAMELEONE AFUNGUKA SABABU ZA KUTOACHA MUZIKI

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka sababu za kutostaafu kwenye muziki licha ya kufanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 20. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Chameleone amesema muziki upo ndani damu yake na hivyo haoni kabisa akiacha kuimba. Bosi huyo wa lebo ya Leone Island amesema hafanyi tena muziki kwa […]

Read More
 AKOTHEE AJIBU SHTUMA ZA KUDHARAU KAZI YA MWANAMITINDO WA UREMBO NCHINI DENNIS KARURI

AKOTHEE AJIBU SHTUMA ZA KUDHARAU KAZI YA MWANAMITINDO WA UREMBO NCHINI DENNIS KARURI

Msaniii nyota nchini Akothee amemjibu mwanamitindo wa urembo nchini Dennis Karuri aliyedai kuwa msanii huyo ndiye mteja mkorofi zaidi kuwahi kumhudumia tangu aanza kujishughulisha na maswala ya urembo. Kupitia ukurasa wake wa instagram Akothee amesema hana muda kupishana na watu wanaotafuta kiki wakitumia jina lake kwani nguvu zake zote amezielekeza kwenye ishu ya kuiweka afya […]

Read More
 OTILE BROWN APOKEZWA TUZO YA DHAHABU NA YOUTUBE KWA KUFIKISHA SUBSCRIBERS MILIONI 1.

OTILE BROWN APOKEZWA TUZO YA DHAHABU NA YOUTUBE KWA KUFIKISHA SUBSCRIBERS MILIONI 1.

Staa wa muziki wa nchini  Otile Brown amepokezwa tuzo ya Golden creators na mtandao wa youtube kwa kufikisha jumla ya subscribers millioni 1. Mkali huyo wa “Jeraha” amewashukuru mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuendelea kufuatilia kazi zake ambazo zinaendelea kuonyesha mafanikio makubwa huku akiahidi kutoa mzuri kwa ajili yao . Otile Brown […]

Read More